invetor problems

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
hi JF members,

nimekuwa nakabiliwa na sida ya invetor ninayoiunda inapata shida ya trasisstor zinapata joto upande mmoja. ambapo ktk hasli ya kawaida inatakiwa ipate joto pande zote ili iweze kufanya kazi ipasavyo.

jamni kama kuna mtu humu kisimani anisaidie kwa faida yangu na wengine wanaoweza kuwa na tatizo kama langu

asanteni
 
aaahhj karibuni jamani
 
Ok!kwanza sijajua inverter(not invetor),unaitengeneza katika mawimbi aina gani nikimaanisha kati ya "sine wave","modified sine wave" au "pure sine wave".Anyway ntakujibu kwa kutumia mawibi ya sine wave(60Hz+),ambazo wabongo wengi ndo tunazisuka,ambazo nyingi zinatumia tik-tak-oscillator ambayo inatoa mawimbi ya 50Hz/60Hz.Bila shaka oscilator yako umeifunga na power transitor ambazo ndiyo huwa left and right side kwa transformer zenye center tape!
CHA KUFANYA
1:pIMA RESISTANCE YA PRIMARY WINDING TO THE END POINTS
2:UKISHA PATA JIBU LIGAWE MARA MBILI.mfano 30 ohms/2 utapata 15 omhs
3:pIMA TENA KATIKA PRIMARY WINDING KWA KUTUMIA "CENTER TAPE" .hakikisha katika left winding(coil/turns) unapata
ohms sawa na right coil.(hii inapimwa kwa kuweka waya mmoja katika center tape then waya mwingine unapima end sides.
mfano-kama left winding umepata 15 ohms basi right windings lazima upate 15 ohms kama upande mmoja utakuwa na winding chache kuliko mwingine inawezekana ikasababisha upande mmoja wa power transistor kupata joto.
kama umeona vipimo vya transformer vipo sawa basi angalia oscilator yako.
USIPO JARI NITUMIE MCHORO WAKO HAPA NIUPITIE ZAIDI.
 
hi JF members,

nimekuwa nakabiliwa na sida ya invetor ninayoiunda inapata shida ya trasisstor zinapata joto upande mmoja. ambapo ktk hasli ya kawaida inatakiwa ipate joto pande zote ili iweze kufanya kazi ipasavyo.

jamni kama kuna mtu humu kisimani anisaidie kwa faida yangu na wengine wanaoweza kuwa na tatizo kama langu

asanteni

hiyo Electronic ya kupima Transistor kwa kugusa kama inapata moto ni ya wapi? ninavyojua mimi Transistor kama inaoperate vzr hata joto halitatoka ila ikisaturate...lazima ipate moto..upande mmoja...ambao unatakiwa ufungiwe heat sink so hiyo ya kwako unataka ipate moto pande zote mbili?.....
 
Back
Top Bottom