tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,198
Uyo ndio alianza vijembeGo go Nairobi....Kidogo kidogo fala mswahili atapost picha ya kibera...hapo ndio utaamini kurogwa ni real
Nyie ndio huwa na matatizo ya kiana, kuna uzi mwengine umeanzishwa wa kuhusu maendeleo Kenya, Wabongo wenyewe kwa wenyewe wakaishia kutukanana humo hadi wakachezea ban. Mnaishi kimajungu majungu...
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app