Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna kampuni yetu huku ughaibuni ambayo pia inataka kufanya biashara Tanzania. Je tunahitaji kusajili upya kampuni hiyo Tanzania? Tunaweza kuihamishia usajili wake wa awali huko Tanzania? Natanguliza shukrani.