Invest in the business of the year (2013) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Invest in the business of the year (2013)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Msamiati, Sep 4, 2012.

 1. Msamiati

  Msamiati R I P

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 1,076
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 0
  JE UNAJUA BIASHARA ITAKAYO FANYA VIZURI MWAKA 2013 NA KUDUMU KWA MUDA WA ZAIDI YA MIAKA 10 HUKU IKIWA IMARA KIUCHUMI?

  HIZI NDIZO ZITAKUWA SIFA ZAKE

  1. ITAKUWA NI BIASHARA YA HUDUMA (service Business) AMBAYO NI YA LAZIMA

  Mpaka sasa biashara nyingi zimekuwa ni biashara ambazo zinailenga moja kwa moja jamii yaani wateja wakubwa wa biashara wanakuwa ni wananchi, jambo hili linafanya biashara nyingi zishindwe kufikia malengo makubwa kwasababu kanuni za mzunguko wa pesa kwenye jamii zimekuwa ngumu na kupelekea shida kubwa katika masoko ya biashara. Kwa mantiki Hiyo biashara itakayo fanyika kwa mafanikio ndani ya miaka 10 ijayo ni biashara ambayo itatoa huduma ya kusapoti utendaji katika sekta kubwa pamoja na watu


  2. WATEJA WAKUBWA HAWATAKUWA WATU BALI NI MAKAMPUNI, TAASISI, SERIKALI, ORGANIZATION, VIWANDA N.K

  3. UTANGAZAJI WAKE / MARKETING UTAKUWA AUTOMATIC (itajutangaza) WATEJA NA JAMII WATATUMIKA KWENYE MATANGAZO
  Kuipa biashara umaarufu ni jambo zito ambalo mara nyingi hugharimu muda na gharama, biashara itakayofanyika kwa mafanikio 2013 ni ile ambayo kila atakaye faidika nayo atajisikia fahari kumshirikisha na mwingine

  4. ITAENDESHWA NA WATUMISHI WENYE UWEZO
  Hii itakuwa biashara ambayo watendaji wake watakuwa ni watu wenye uwezo mkubwa na uzoefu wa kutosha na ujuzi katika utendaji sio Elimu kubwa na Title

  5. ITAKUWA NA UONGOZI IMARA

  6. RASILIMALI WATU ZITAKUWA NI VIJANA WENYE NGUVU / AKILI NA UBUNIFU
  Nani hajui kuwa ulimwengu wa sience na technology ni ulimwengu ambao mambo makubwa yanafanywa na vijana?

  7. MUUNDO WA UTENDAJI UTAKUWA NI WAKIPEKEE


  Je Umekubaliana na mimi? Basi usisite kuwa moja ya waasisi na wamiliki wa mradi wa biashara hii Biashara ya mwaka (2013)

  Mtaji unao hitajika ni kiasi cha Tsh 20Million mradi utaweza kutengeneza mpaka faida ya Tsh 10 Million kwa mwezi

  Mwezi January (mwezi wa kwanza wa biashara ) kutakuwa na faida ya 2 Million ukiondoa operating cost

  Mpaka sasa makampuni 4 Shirika moja Na shule moja zinausubiri Mradi huu kwa hamu Idadi yoyote yaa wawekezaji wasio zidi 4 wanahitajika ili kukamilisha Mtaji na kumiliki Biashara hii Biashara ya Mwaka (2013). YEYOTE ANAKARIBISHWA

  cordinator
  Titus Julius
  0712 494761
  titusjulius89@gmail.com
   
Loading...