Introverts Vs Relationship

Mimi ni ke mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kumbe watu wengi hawapendi kuingiliwa na wanadamu katika mazingira yao.

Nadhani moja ya watu wasiopenda watu nami nipo. Naweza kutunukiwa hata papuchi ila ghafla nikaacha kufuatilia na siendelei tena. Sipendi kupigiwa simu ambayo haina japo la maana, yaani mtu akipiga simu kwa lengo la kupiga story nitatafuta dharura nimwambie anipigie baada ya dakika 5 na hapo hata apige sipokei.

Sipendi kupewa kazi ya kufuatilia kitu na mtu, ukiniambia nenda sokoni ulizia bia bei gani ujue mawasiliano yangu na wewe hayapo. Kuna jamaa aliniagiza nimuulizie kifaa cha gari sehemu nikamwambia anitafute baada ya siku 2 nimpe jibu, tangu mwaka jana mwezi wa 11 hadi leo sipokei simu maana naona ana usumbufu mwingi sana.

Huwa nakaa sehemu zaidi ya mwaka ila ni watu chini ya 10 wanaoweza kujua walau jina langu tu, sipendi kuchangamana na watu nachukia mikusanyiko ambayo naweza kuwa mmojawapo.

Nyakati fulani nilikuwa nakaa na mzee wangu nilikuwa naongea naye maneno kama 5 hivi kwa siku. Salamu ya asubuhi, karibu lunch, karibu dinner na usiku mwema. Kesho pia hivyohivyo.

Na watu wenye tabia hizi huwa wana akili sana anaweza kuchunguza jambo gumu akapata jibu na kuendelea kujifanya hajui lolote, wengi wao ni wadadisi, wana hisia za kweli na hupenda zaidi kutumia hisia na akili zao.

Nimepata mpenzi Extrovert naona ni kama upinzani ndani ya nchi, mwenzangu anaweza kuongea masaa 40 mfululizo ila mimi huongea pale linapokuja suala la kuongea ama kujibu. Kazini naenda kwa ratiba sipendi kwenda kukaa kazini bila ratiba yaani nashindwa kabisa.

Mengine njoo PM nikwambie Saint Anne
 
Hahah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bahati mbaya sikuona hii quote mapema. Nadhani wengi humu wanachanganya shyness au lack of confidence na kua introvert. Ninavyofahamu mimi introverts hawapendi kusocialize iwe kwa maneno au kwa maandishi. Kama huwezi kuongea mbele ya watu ila unapenda kuchat, wewe sio introvert bali ni mtu mwenye aibu!
Mbona kama unalazimisha waamini unachoamini wewe, kwahiyo wakuamini wewe au Carl Gustav?.
 
Hahaha kumbe watu wengi hawapendi kuingiliwa na wanadamu katika mazingira yao.

Nadhani moja ya watu wasiopenda watu nami nipo. Naweza kutunukiwa hata papuchi ila ghafla nikaacha kufuatilia na siendelei tena. Sipendi kupigiwa simu ambayo haina japo la maana, yaani mtu akipiga simu kwa lengo la kupiga story nitatafuta dharura nimwambie anipigie baada ya dakika 5 na hapo hata apige sipokei.

Sipendi kupewa kazi ya kufuatilia kitu na mtu, ukiniambia nenda sokoni ulizia bia bei gani ujue mawasiliano yangu na wewe hayapo. Kuna jamaa aliniagiza nimuulizie kifaa cha gari sehemu nikamwambia anitafute baada ya siku 2 nimpe jibu, tangu mwaka jana mwezi wa 11 hadi leo sipokei simu maana naona ana usumbufu mwingi sana.

Huwa nakaa sehemu zaidi ya mwaka ila ni watu chini ya 10 wanaoweza kujua walau jina langu tu, sipendi kuchangamana na watu nachukia mikusanyiko ambayo naweza kuwa mmojawapo.

Nyakati fulani nilikuwa nakaa na mzee wangu nilikuwa naongea naye maneno kama 5 hivi kwa siku. Salamu ya asubuhi, karibu lunch, karibu dinner na usiku mwema. Kesho pia hivyohivyo.

Na watu wenye tabia hizi huwa wana akili sana anaweza kuchunguza jambo gumu akapata jibu na kuendelea kujifanya hajui lolote, wengi wao ni wadadisi, wana hisia za kweli na hupenda zaidi kutumia hisia na akili zao.

Nimepata mpenzi Extrovert naona ni kama upinzani ndani ya nchi, mwenzangu anaweza kuongea masaa 40 mfululizo ila mimi huongea pale linapokuja suala la kuongea ama kujibu. Kazini naenda kwa ratiba sipendi kwenda kukaa kazini bila ratiba yaani nashindwa kabisa.

Mengine njoo PM nikwambie Saint Anne
unapenda muziki gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
introvert tuwe tunajichanganya kuna wakati ninajihisi mpweke sana

natamani kujichanganya nashindwa ila ikitokea nimefanikiwa kujichanganya kama watu wanaongea mada za kiutani utani naondoka

huwa napenda watu waongelea kitu ninachokipenda mimi tu na huwa sipendi kuchangia napenda niwe msikilizaji tu

nicheke kama jambo linafurahisha basi lakini sio kuongea

kama jambo linazungumziwa ambalo silipendi halafu kuna shughuli ya ulazima kuwa pale huwa naboreka sana
 
Napenda nyimbo za kale hasa rhumba.
Yani hata mimi ni humo humo mkuu...yani nilivyokua chuo wadau walikua wananishangaa masongi niliyokua naskiliza na umri wangu haviendani

walitegemea ntakua naskiliza this modern songs ila mimi nilikua nakomaa na kina Pepe kale,Sam Mapangala,Aurlus Mabele na wengineo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hata mimi ni humo humo mkuu...yani nilivyokua chuo wadau walikua wananishangaa masongi niliyokua naskiliza na umri wangu haviendani

walitegemea ntakua naskiliza this modern songs ila mimi nilikua nakomaa na kina Pepe kale,Sam Mapangala,Aurlus Mabele na wengineo

Sent using Jamii Forums mobile app
introvet wengi hawaendi na wakati hivyo mambo mengi ya kidunia hawayaelewi kabisa
 
nimeishi na mwanamke ambae pia alikuwa introvet kama mimi tulikuwa tukikaa pamoja wala hatuongei hata siku nzima ila itokee shida au kumuulizia jambo zaidi ya hapo tunakaa kimya kunawasiliana kwa vitendo

nikichoka kukaa ndani nikitaka kutoka namuhurumia sana akibaki peke yake kwa sababu muda wa mwezi mmoja hakuweza kuchangamana na majirani alikuwa hawezi kupiga simu nikiwa nae mpaka nitoke ndo ninasikia akiongea na simu
 
Hahaha kumbe watu wengi hawapendi kuingiliwa na wanadamu katika mazingira yao.

Nadhani moja ya watu wasiopenda watu nami nipo. Naweza kutunukiwa hata papuchi ila ghafla nikaacha kufuatilia na siendelei tena. Sipendi kupigiwa simu ambayo haina japo la maana, yaani mtu akipiga simu kwa lengo la kupiga story nitatafuta dharura nimwambie anipigie baada ya dakika 5 na hapo hata apige sipokei.

Sipendi kupewa kazi ya kufuatilia kitu na mtu, ukiniambia nenda sokoni ulizia bia bei gani ujue mawasiliano yangu na wewe hayapo. Kuna jamaa aliniagiza nimuulizie kifaa cha gari sehemu nikamwambia anitafute baada ya siku 2 nimpe jibu, tangu mwaka jana mwezi wa 11 hadi leo sipokei simu maana naona ana usumbufu mwingi sana.

Huwa nakaa sehemu zaidi ya mwaka ila ni watu chini ya 10 wanaoweza kujua walau jina langu tu, sipendi kuchangamana na watu nachukia mikusanyiko ambayo naweza kuwa mmojawapo.

Nyakati fulani nilikuwa nakaa na mzee wangu nilikuwa naongea naye maneno kama 5 hivi kwa siku. Salamu ya asubuhi, karibu lunch, karibu dinner na usiku mwema. Kesho pia hivyohivyo.

Na watu wenye tabia hizi huwa wana akili sana anaweza kuchunguza jambo gumu akapata jibu na kuendelea kujifanya hajui lolote, wengi wao ni wadadisi, wana hisia za kweli na hupenda zaidi kutumia hisia na akili zao.

Nimepata mpenzi Extrovert naona ni kama upinzani ndani ya nchi, mwenzangu anaweza kuongea masaa 40 mfululizo ila mimi huongea pale linapokuja suala la kuongea ama kujibu. Kazini naenda kwa ratiba sipendi kwenda kukaa kazini bila ratiba yaani nashindwa kabisa.

Mengine njoo PM nikwambie Saint Anne
Mwache mpenzi wangu, hatupendi usumbufu sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom