Nyumbani Digital
Member
- Dec 28, 2020
- 42
- 28
Habari wakuu, Natumai kila mmoja wetu yuko vizuri na tunaendelea kupambana katika ulimwengu wa biashara na ujasiriamali. Mada ya Leo inahusu kitu ambacho kina mchango mkubwa sana katika kuikuza biashara yako mwaka huu 2021. Haijalishi wewe ni mfanyabiashara mdogo, unauzia Insta tu au ni mfanyabiashara mkubwa unayemiliki kampuni kabisa.
Ni kitu ambacho wengi wanakitamka, wanakiskia, wengine wanatamani kujifunza kabisa. Lakini kubwa zaidi ni kuwa kila mtu anakifanya (either kwa kufahamu au kutofahamu). Kitu hicho sio kingine bali ni DIGITAL MARKETING. Yes, Digital marketing.
Kama wewe ni mfanyabiashara na umekuwa ukitafuta wateja online,basi unafanya digital marketing lakini Digital marketing ni kitu kikubwa, ina uwanja mpana sana, na kuna vitu vingi unapaswa kufahamu kama kweli unatamani kupata mafanikio ktk efforts zako za digital marketing.
(Yes, kufanya kitu pekee haitoshi kuleta mafanikio, lazima uwe na mbinu za ushindi). Ndio maana leo hii tumewaletea mada hii. (Intro, zingine zitakuja),...
Lengo ni kuweza kukupatia mwanga na competitive advantage ktk biashara yako (dhidi ya washindani wako) ili hatimaye uweze kufanikiwa ktk digital marketing efforts zako na uweze kupata wateja zaidi + business growth.
TWENDE PAMOJA SASA
DIGITAL MARKETING ni nini??
Digital marketing kwa lugha nyepesi kabisa ni kitendo cha kuitangaza biashara yako na kutafuta wateja wako kwa kutumia Online channels.
Unaweza kuiita Online Marketing pia, yaani unafanya marketing lakini kwa kutumia Online channels kama vile social medias, Websites, Email etc. ...
Na sio zile traditional ways of marketing kama vile Radio, TV, billboards na print marketing like mabango, business cards, flyers etc
Na hapo ndipo mada ya Leo ilipo, tutaenda kufahamu kitu wanaita DIGITAL MARKETING TRIFECTA.
Yaani vitu 3 ambavyo vinajenga Digital Marketing na unaweza kuwekeza katika moja wapo ya hivyo.. Au zaidi na ukafanikiwa ktk marketing ya biashara/kampuni yako.
Vitu hivyo ni SOCIAL MEDIA, WEB and EMAIL. Hiyo ndio trifecta yenyewe ya digital marketing.
Tuvione sasa kwa kiasi kidogo.
1. SOCIAL MEDIA
Hapa nadhani hakuna asiyetambua ukweli kwamba wateja wake wapo online na wanatumia social media.
Swali linabaki jinsi ya kuwapata hao wateja, maana inaweza ikawa rahisi au isiwe rahisi kulingana na aina ya biashara unayofanya.
Ndio maana unapaswa kuwa na ufahamu wa ziada au team itakayokusaidia katika social media ili uweze kunasa wateja.
Na hapa utakutana na vitu 2, SOCIAL MEDIA MARKETING pamoja na SOCIAL MEDIA ADVERTISING.
Nimevitenganisha sababu kila kimoja kina principles zake, lasivyo unaweza kuwa unafungiwa account kutangaza mara kwa Mara (#disabled #restricted...usiombe ikukute).
We'll dive deep in each other kwenye posts zijazo.
2.WEBSITES (WEB)
Website ni msingi wa pili wa digital marketing and kama kweli uko serious about succeeding in digital marketing, lazima uwe na website.
Kwanini?... Kwa sababu website inakupa leverage Kubwa katika marketing efforts zako, sio tu kuwaonesha wateja kwamba you can be trusted.. Lakini unaweza ifanya ikupatie wateja vile vile kama utafahamu namna ya kuitumia vizuri.
(Kama unapenda kufahamu zaidi namna website inavyoweza kusaidia kukuza biashara yako.. Niambie ktk Reply hapo, nitaleta mada )
Katika msingi huu huu wa pili wa WEB katika digital marketing, tunaweza ongezea vitu vingine kama SEO (search engine optimisation), SEM (Search engine marketing) pamoja na Google Ads, even YouTube Ads can work wonders for your business
But watanzania wengi bado hawajachangamkia fursa.. Ndio maana YouTube tunakutana na matangazo ya wazungu tu mostly.
3.EMAIL
Last but not least, Email inaingia hapa kama msingi wa 3 wa digital marketing.
Email is not Dead, Email marketing and List building still works na ni kitu ambacho kiko underrated sana hapa kwetu.
Might not work for some B2C businesses, lakini kama unafanya B2B business, I'm sure wateja wako wanaopen emails (corporate workers),..
Hivyo unaweza tumia email marketing kama njia nzuri na ya bure kbs kujenga Brand yako, kudevelop relationship na kupata wateja zaidi na zaidi.
Nahiyo sasa ndiyo misingi ya Digital Marketing,
Ukiskia tena au kama unataka kujifunza digital marketing, basi anza kufikiria kufahamu vitu hivyo 3.
Na sio lazima ufahamu vyote au ufanye vyote, kulingana na ukubwa wa biashara yako unaweza kupima. Kama mainly uko ktk social media, Basi unakomaa na Social Media Marketing & Advertising
Lakini kama unamiliki kampuni, bila kupepesa macho ningekushauri uwekeze ktk vitu vyote hivyo 3.
Vikifanyika kwa weledi wake, lazima utapata Faida nzuri in-terms of kuongeza wateja, kukuza brand yako na biashara yako kwa ujumla.