Introducing New Range Rover Sport

KndNo1

JF-Expert Member
Oct 26, 2021
342
1,000
Ukiangalia hizi zinakupa picha gani? View attachment 2223180
_20220514_102606.JPG

Hapo vipi...!!
 
deedee

Senior Member
Sep 19, 2010
127
225
Fatilia comments zangu vizuri mkuu, nimeshasema the only reliable gari ambazo Landover walitio ilikua jamii hiyo 110,109 nk.. Ndio maana hata hizi ukitaka used kwa sasa ni ghali kwa mbali sana ukilinganisha na RR ya mwaka huo huo.. Changamoto zake chache ambazo sio tatizo sana ni kuingiza vumbu ndani, hata kama ni mpya na engine kuvujisha oil.
Toleo la Puma walijaribu kufanya maboresho ya muonekano wa ndani ila nje ni kama defender tu tatizo mfumo wa umeme na engine ni kimeo balaa. RR + Descover hapa luxury ila reliability huwezi linganisha na toyota Landcruiser.

Mkuu inabidi comparison ufanye kwa specific models, umewahi kuona repair invoice ya LC200 ikiwa haina warranty?

Kila gari inaharibika, inahitaji maintainance. Owners wa mwisho wa RR after warranty hua na kipato kidogo, hua hawafanyi scheduled Maintenance as recommended, ndio wanaopiga kelele.

Hata IST usipofanya maintainance itakua sio reliable.

Mzungu hawezi kukupa 5 years unlimited Kilometres warranty halafu gari liwe bovu, ataingia hasara.

Toyota bongo wanakupa 3 years / 100,000km warranty, baada ya hapo utaona cha moto
 
deedee

Senior Member
Sep 19, 2010
127
225
Sasa hizi unataka tulinganishe na gari ipi?

Soma kuhusu classic au vintage cars utaelewa.

In fact hizi za miaka ya 90 zimekuja kupanda bei baada ya watumiaji kugundua hizi za sasa sio reliable...

Sasa tuletee bei za Landcruiser za zamani na za sasa uone kama itakua na price difference kama RR za zamani na sasa.

Mkuu umewahi kujiuliza kwanini biashara ya used engine za toyota imeshamiri sana Ilala? Ziko un-reliable?
 
Platnam

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
641
1,000
Sijakusoma..classic car ni gari ya zamani.. Hiyo Range Rover classic ni jina lake.. .!
Achana na swala la kuitwa classic.. Kuna watu wanauza classic cars na hua ni bei gali.. Au labla huelewi maana ya classic...

Labda uone hii.

Inakupa picha gani?
Screenshot_20220514_104635.jpg
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
47,750
2,000
Mkuu inabidi comparison ufanye kwa specific models, umewahi kuona repair invoice ya LC200 ikiwa haina warranty?

Kila gari inaharibika, inahitaji maintainance. Owners wa mwisho wa RR after warranty hua na kipato kidogo, hua hawafanyi scheduled Maintenance as recommended, ndio wanaopiga kelele.

Hata IST usipofanya maintainance itakua sio reliable.

Mzungu hawezi kukupa 5 years unlimited Kilometres warranty halafu gari liwe bovu, ataingia hasara.

Toyota bongo wanakupa 3 years / 100,000km warranty, baada ya hapo utaona cha moto
Hao unawafafanulia hio wana upeo mdogo.
 
Platnam

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
641
1,000
Mkuu umewahi kujiuliza kwanini biashara ya used engine za toyota imeshamiri sana Ilala? Ziko un-reliable?
Sababu ya kwanza toyota ni nyingi so spare pia zinaitajika kwa wingi.
Sababu ya pili hizi gari tunazitumia hadi matumizi ya engine yanafika mwisho then unabadili engine unaendelea kupiga mzigo. Si ajabu kukuta Toyota inatembea km laki 3..hata hizi low end achilia mbali Toyota ambazo ni zimetengenezwa matumizi magumu.

Level ya matumizi ya toyota kwa hizi gari nyingine utakuta haiitaji repair kwasababu itakua juu ya mawe tayari.

Fatilia pia hata mijadala humu ndani.. Watu wanatoa engine za brand nyingine wanaweka za toyata
 
KndNo1

JF-Expert Member
Oct 26, 2021
342
1,000
Achana na swala la kuitwa classic.. Kuna watu wanauza classic cars na hua ni bei gali.. Au labla huelewi maana ya classic...

Labda uone hii.

Inakupa picha gani? View attachment 2223993
Nimeshakupa Maana ya classic.. Yako ni ipi..!!?
Aisee hiyo 32k usd ni nyingi au ndogo kwa Landcruiser.. ukiwa na bei hiyo utapata Landcruiser mpya..!!!?
 
deedee

Senior Member
Sep 19, 2010
127
225
Sababu ya kwanza toyota ni nyingi so spare pia zinaitajika kwa wingi.
Sababu ya pili hizi gari tunazitumia hadi matumizi ya engine yanafika mwisho then unabadili engine unaendelea kupiga mzigo. Si ajabu kukuta Toyota inatembea km laki 3..hata hizi low end achilia mbali Toyota ambazo ni zimetengenezwa matumizi magumu.

Level ya matumizi ya toyota kwa hizi gari nyingine utakuta haiitaji repair kwasababu itakua juu ya mawe tayari.

Fatilia pia hata mijadala humu ndani.. Watu wanatoa engine za brand nyingine wanaweka za toyata

Mkuu matumizi ya engine kufika mwisho ni Kilometres Ngapi?

Ukipata fundi wa mchongo, ndio wanatoa mawazo ya kuswap engine kwenda Toyota.

Nachofahamu ukifika stage ya kubadilisha engine sio ishu ya Kilometres, tatizo linakua gari ni mbovu, maintainance imekushinda, hivyo utahitaji kubadilisha vitu vingi, option yenye nafuu kiduchu ni kuweka engine mpya, ambayo hujui ilikua Kilometres ngapi.

Soko lisingekua kubwa kama engines are reliable.
 
Lakini pia, spares zikihitakika kwa wingi tunarudi pale pale, kwamba zinaharibika sana, je ziko reliable?
 
Platnam

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
641
1,000
Mkuu inabidi comparison ufanye kwa specific models, umewahi kuona repair invoice ya LC200 ikiwa haina warranty?

Kila gari inaharibika, inahitaji maintainance. Owners wa mwisho wa RR after warranty hua na kipato kidogo, hua hawafanyi scheduled Maintenance as recommended, ndio wanaopiga kelele.

Hata IST usipofanya maintainance itakua sio reliable.

Mzungu hawezi kukupa 5 years unlimited Kilometres warranty halafu gari liwe bovu, ataingia hasara.

Toyota bongo wanakupa 3 years / 100,000km warranty, baada ya hapo utaona cha moto
Mkuu hakuna aliyesema gari isifanyiwe maintainance hapa.

Fanya same treatment kwa RR na LC ila RR hata kwenye warranty ataenda repair shops mara nyingi zaidi kuliko wa Toyota... Kinachokusaidia warranty ni kwamba huingii mfukoni ila gari kuharibika kupo pale.

Hapa unaposema kwamba LC ikifika 100000 km chamoto utakiona unamaanisha kwamba itakua inaharibika kila wakati au kwasababu huna warranty so unalazimika kuingia mfukoni?

Kama ni kuharibika mara kwa mara then unatudanganya.

RR yenye 100000 km na LC yenye same milage ipi inaweza kusumbua zaidi under same treatment???
 
Platnam

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
641
1,000
Nimeshakupa Maana ya classic.. Yako ni ipi..!!?
Aisee hiyo 32k usd ni nyingi au ndogo kwa Landcruiser.. ukwa bei hiyo utapata Landcruiser mpya..!!!?
Rudi tena tafuta maana ya classic cars, otherwise hutoelewa nazungumza kitu gani
 
deedee

Senior Member
Sep 19, 2010
127
225
Mkuu hakuna aliyesema gari isifanyiwe maintainance hapa.

Fanya same treatment kwa RR na LC ila RR hata kwenye warranty ataenda repair shops mara nyingi zaidi kuliko wa Toyota... Kinachokusaidia warranty ni kwamba huingii mfukoni ila gari kuharibika kupo pale.

Hapa unaposema kwamba LC ikifika 100000 km chamoto utakiona unamaanisha kwamba itakua inaharibika kila wakati au kwasababu huna warranty so unalazimika kuingia mfukoni?

Kama ni kuharibika mara kwa mara then unatudanganya.

RR yenye 100000 km na LC yenye same milage ipi inaweza kusumbua zaidi under same treatment???

Zote zikiwa na same spefications zitakua sawa under the same treatment. Usifanye comparison gari yenye air suspension vs coil spring, Chukua LC200 ZX au VX-R au Lexus LX570 vs RR Vogue ( Autobiography ina specs za juu kidogo)
 
Platnam

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
641
1,000
Mkuu matumizi ya engine kufika mwisho ni Kilometres Ngapi?

Ukipata fundi wa mchongo, ndio wanatoa mawazo ya kuswap engine kwenda Toyota.

Nachofahamu ukifika stage ya kubadilisha engine sio ishu ya Kilometres, tatizo linakua gari ni mbovu, maintainance imekushinda, hivyo utahitaji kubadilisha vitu vingi, option yenye nafuu kiduchu ni kuweka engine mpya, ambayo hujui ilikua Kilometres ngapi.

Soko lisingekua kubwa kama engines are reliable.
Gari zote zinatengenezwa zina mwisho wa matumizi, hakuna engine isiyo na mwisho mkuu..

Kila gari ina specification zake so siwezi kukwambia mwisho wa engine exactly ni upi..

Mtu mpaka anafikia hatua ya kuanza ku swap engine ni kwasababu aliyonayo inamsumbu, otherwise hawezi amka asubuhi tu akasema naenda kubadili engine.
 
deedee

Senior Member
Sep 19, 2010
127
225
Mkuu hakuna aliyesema gari isifanyiwe maintainance hapa.

Fanya same treatment kwa RR na LC ila RR hata kwenye warranty ataenda repair shops mara nyingi zaidi kuliko wa Toyota... Kinachokusaidia warranty ni kwamba huingii mfukoni ila gari kuharibika kupo pale.

Hapa unaposema kwamba LC ikifika 100000 km chamoto utakiona unamaanisha kwamba itakua inaharibika kila wakati au kwasababu huna warranty so unalazimika kuingia mfukoni?

Kama ni kuharibika mara kwa mara then unatudanganya.

RR yenye 100000 km na LC yenye same milage ipi inaweza kusumbua zaidi under same treatment???

Kuna kitu unachanganya Mkuu, RR kufanyiwa repair ni unreliable, ila Toyota ikifanyiwa repair na spares kujaa ilala ni reliable. Nozzle za V8 zikifa 8, out of pocket, kama hauko vizuri, itakaa juu ya mawe.
 
Platnam

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
641
1,000
Zote zikiwa na same spefications zitakua sawa under the same treatment. Usifanye comparison gari yenye air suspension vs coil spring, Chukua LC200 ZX au VX-R au Lexus LX570 vs RR Vogue ( Autobiography ina specs za juu kidogo)
Mkuu unaongea as if taarifa za magari ni za siri...

Kuna website kibao tu na uzuri ni wenzetu huko gari zinapozalishwa... Pita angalau kidogo upate reviews za watumiaji... Then fanya comparison kwenye hizi gari... Wewe chagua model unayotaka ya RR, linganisha na LC unayoona ni sahihi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom