Introducing: New Moderators

Status
Not open for further replies.

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Greetings ladies and Gentlemen.

I wish to introduce to you our crew of moderators.

1. Brutus (Whole forum)
2. Ole (Whole Forum)

We've 2 new Moderators:

1. PainKiller (Whole Forum)
2. Picassa243 (ICT Forums Moderator).

I trust you'll enjoy their services and any complaints to risen to invisibleATjamboforumsDOTcom.

Rgds,

Invisible
 
hongereni ma moderator wapya, na shukrani wale wazamani na ambao bado wanaendelea, karibuni muumizwe vichwa!!

Shukrani lakini hope maneno mekundu haya watayashinda. Vitaumia kwa kutafuta suluhu za matatizo ya wateja wao na kuyapa kipaumbele haraka iwezekanavyo.

None is perfect 100%.
 
hongereni ma moderator wapya, na shukrani wale wazamani na ambao bado wanaendelea, karibuni muumizwe vichwa!!


Mwanakijiji bwana kwa mipasho utafikiri Hadija Kopa!

Mamode wapi kariuni bwana sukumeni hili jamzi la midahalo ya kimawazo kuumizwa vichwa ndio kukomaa kwenyewe huko wala msitishike kwa kuumizwa vichwa. Karibuni sana wakuu mtuwezeshe kutoa mawazo yetu na maoni yetu kwa watanzania. Invible heshima kwako mkuu kwa jitihada zote unazozifanya ili hii kitu iwe live sio kazi ndio unahitaji pongezi mkuu.
 
Thanks for the info. Lets make the forum more informative, factual and educative. Best wishes to the moderators.
 
Hicho kitambulisho chako ni tosha kimenivunja mbavu maana nilidhani ni Panadol ama Aspirin sijui ni dawa gani hizi.

Kweli!
Lkn zile za pale juu kama zimefanana na zile wakamatwazo nazo wameficha tumboni alafu wanatuonyesha kwenye TV.Lakini poa tu zote dawa!JK (just kidding)

All in all,karibuni WAKUU wapya!
 
Ni Vizuri Ungeweka Cv Zao Ili Iwe Vizuri Kuuliza Maswali Mengine Tutambue Wanaelewa Lipi Na Lipi

Manake Wakati Mwingine Brutus Anaweza Kuja Kuweka Comment Yake Katika Ict Wakati Yeye Sio Mtaalamu Au Picassa Aende Katika Afya Na Kufanya Edit
 
hey invisible
hujambo lakini?? am so glad kwa kumuvuzisha demokrasia na kutuongezea vichwa ktk moderators. and can myself clear my doubts on how moderators are appointed? and can i say welcome to new package of moderators????
 
Kweli!
Lkn zile za pale juu kama zimefanana na zile wakamatwazo nazo wameficha tumboni alafu wanatuonyesha kwenye TV.Lakini poa tu zote dawa!JK (just kidding)

All in all,karibuni WAKUU wapya!

halafu kweli zimefanana nazo..ila tuliambiwaga na mheshimiwa flani tuzitofautishe kwa kuita dawa moto na dawa baridiiii
ma mod.karibuni n hongereni
 
Ni Vizuri Ungeweka Cv Zao Ili Iwe Vizuri Kuuliza Maswali Mengine Tutambue Wanaelewa Lipi Na Lipi

Manake Wakati Mwingine Brutus Anaweza Kuja Kuweka Comment Yake Katika Ict Wakati Yeye Sio Mtaalamu Au Picassa Aende Katika Afya Na Kufanya Edit


Acha hizo. Picassa ni Mod wa ICT forums tu na hawezi kwenda forums nyingine za Afya kwakuwa hana access ya huko. Ungesoma 1st post kabla ya kuandika hivi
 
Ma MoD wanafanya kazi kama baraza la mawaziri... wanateuliwa at the pleasure of "Robot"...

...How does someone being trusted by robot that can serve into panelist like JF, I may be not learned on criterias, though i congratulates them but still need someone to clear my doubts that new baraza can be trusted...... maana i am afraid isije ikaja siku tukaona mchambuzi au kada mpinzani kawa moderator humu.... (hehe nimechokoza)
 
...How does someone being trusted by robot that can serve into panelist like JF

Hadi pale tutapokuwa na baraza maalum la kuendesha JF ndipo nitaachia kila kitu kwa baraza husika. Hadi sasa nalazimika kutoa maamuzi kwa niaba yenu. Ndiyo maana natoa notification mapema ili pindi ikionekana kuna Mod anaonea na ikathibitika analalamikiwa na zaidi ya watu 20 hivi basi nalazimika kumpumzisha kwa manufaa ya umma.

Msanii, trust me hawa nawaangalia mapema sana. PainKiller ni mtu ninayemfahamu na ni mtu mwadilifu. Endapo ataenda kombo sintokuwa na namna zaidi ya kukubali mapungufu yake na kuangalia namna ya kumsaidia abadilike na ikishindikana atapumzika kwa manufaa ya umma.

Picassa si mtanzania, ni mtu toka nje kabisa ya Afrika lakini nilifurahishwa na utendaji kazi wake na nikazifuatilia kazi zake nikagundua anaelewa afanyalo na ana heshima na kazi. Pia ni mtaalamu wa masuala ya IT hivyo ku-moderate forums za ICT hawezi kujichanganya kirahisi. Kitakachomsumbua ni lugha! Nimemwahidi ushirikiano katika kufasiri.

Vinginevyo tuvumiliane na tujaribu kuelekezana nini kifanyike kwa ufanisi. Sote tuna mapungufu yetu.

Ahsante
 
Thank you Invisible
bet i understood and i trust them from now
boys/gals let the song sing and keep music play
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom