Intro

Prince Jr

Member
Sep 18, 2013
53
9
Habari zenu wana jf, jamani ndo kama muonavyo hivyo nabisha hodi mimi ni mgeni humu ndani katika hili jukwaa. Hivyo natumaini tutakuwa pamoja katika kuchangia hoja pamoja na kubadilishana mawazo.
#Shukrani .
 
Hodi, ndio kwanza naingia na mambo yenyewe yamenikuta jua la alasiri ni matumaini yangu tutashirikiana kwa yale yatakayotugusa nawaombeini ushirikiano
 
Habari zenu wana jf, jamani ndo kama muonavyo hivyo nabisha hodi mimi ni mgeni humu ndani katika hili jukwaa. Hivyo natumaini tutakuwa pamoja katika kuchangia hoja pamoja na kubadilishana mawazo.
#Shukrani .
Karibu sana jamvini mgeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom