Into this digital age, mambo ambayo hutakiwi kufanya.

Mr.genius

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,369
1,169
> Misscalls and msgs.
Unakuta mtu anakutumia msg, halaf anakupgia kukuuliza "ile msg yangu uliipata?" meen! Tuko 2019 karne ya 21. Hili si swali la kuuliza.
Hz digital devices tunazotumia zenyewe hua znajieleza vzuri tu kama msg uliyoituma imeenda itakwambia, km ime delivery itakwambia km haikumfikia vile vile itakwambia ss haya maswali ya uliipata, hukuipata vp?

> Kuuliza uliza maswali hovyo hovyo.
Ask to know!
Siku moja nlikua twitter, nikaona ka video clip kamoja hv nikakapenda kweli, ss nika reply kwa wana nzengo kuuliza nawezaje ku dowld kale ka video. Zikapta dk km tano hv sikupata any response. Nkasema isiwe shida nikazama Google nkaandika "How to download twitter videos" ma info yakaja including na apps za kufanya kazi hiyo nayoitaka, nika shusha app nika dwnld video problem solved. Nikajifunza kuacha katabia ka kuuliza uliza maswali hovyo hovyo maybe niwe nmekosa jibu Google utanisikia nikiuliza and the fan fact is, in today's world of information there plenty of infos it's up to you to read them!.

Location
Zamani bana kutokana na watu kutokujua sehemu au mahali alipokua anataka kwenda ili mlazimu kuuliza uliza mana ndo njia pekee ya kupata mwelekeo, na ikapelekea baadhi ya watu kuichulia hii kama fursa na kuanza ka 'biashara' kasikokua rasmi ka kuwatoza watu wanauliza hela na ilikua haishangazi (hasa jijini Dar) kukuta kibao kwny kijiwe kimeandikwa kuuliza "jero kupelekwa buku" japokua kwa sasa watu hawatozwi hela km zamani lakini bado watu wanauliza "sehemu fulani ntafikaje?..." sijui "nikitaka kwenda wapi napita wapi" come on meen, ndo mana wameweka Google map kwny cm yako tena inakuja na cm ikiwa installed kabisa.
(ka story kafupi)
Siku moja rafk yangu alikua ananiuliza nimwelekeze mahali (alikua kanipgia cm) sababu yeye sio mwenyej sn km mm nikaona ili kumsaidia vzr, nikazama Google map nika search location aliyokua anataka kwenda nika mtumia whatsapp, boom! Problem solved.
Uzuri wa hz app zna info muhimu kukusaidia kujua even time consumed either kwa miguu au kwa gari km utataka kwenda. Japo sometimes haziko 100% perfect but somehow it helps, so I don't expect you to ask for location anymore!

> Kupoteza data and files.
Contacts
Unakutana na mtu anakwambia "aisee hebu nipe namba yako bana (mwanzoni alikua nayo) siunajua nilipoteza simu kaka" au anasema hana namba yako kisa alibadilisha simu, na kuna kipindi hapa kati kati (between age ya simu za kitochi) mtu alikua radhi aibiwe simu lakini mwizi amrudishie laini yake sabab ya umuhimu wa contacts alizonazo. ok...ok ..ok.. kubadilisha au kupoteza simu now days sio ishu tena na si suala unalotakiwa kusingizia katika age hii ya technology kuna advantage nyingi unazoweza kuchukua ili kuepuka "hasara" na fedheha ya kuomba namba mara mbili mbili.
Zipo tools mbali mbali znazoweza kukusaidia ku recovery namba zako za simu lakin yenye nina experience nayo ni recovery ile ya Google very simple yan simu mpya namba contacts zangu zile zile.

Data and files
This also applies for your data and files, again zipo tools nyinyi tu za cloud kukufanya utembee na ofisi yako ikiwa hewani to mention a few of them (Google drive, drop box, Adobe, one drive ya windows e.t.c) umepata device mpya no problem files zako ulizoziweka at the cloud unaweza kuzishusha na maisha yakaendelea.
My friend hv vitu at this digital age hutakiwi kusikika unavi lalamikia, na ukilalamika unaonekana "mzembe" just take action kuepuka hz "hasara" ndogo ndogo znazoumiza
 
Back
Top Bottom