Interviews za hawa recruitment agencies....!!!!!!!

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
122
Wanabodi wa JF!!

Naombeni uzoefu kwa yoyote yule anaefahamu jinsi hizi Agencies zinavyotunga mtihani yao...hasa kwenye profession ya uhasibu.

Nitashukuru kwa msaada............
 
Wewe jua kazi yako, usitake kuendekeza habari zenu za "kusoma ili kufaulu mtihani" mpaka kazini.

Kimsingi hapo unatafuta "feki" wakati dunia halisi haina "feki".

Swali lenyewe halijatoa maelezo ya kutosha kukusaidia hata kama mtu angekuwa anataka kukusaidia.

Unaomba kutafsiriwa ndoto wakati hata ndoto yenyewe huijui!
 
ukielewa vitu bwana hata mtihani uwe vipi lazima ufaulu.... tafta kuelewa kwanza utaweza ku face mtihani wa aina yoyote ..
 
Wewe jua kazi yako, usitake kuendekeza habari zenu za "kusoma ili kufaulu mtihani" mpaka kazini.

Kimsingi hapo unatafuta "feki" wakati dunia halisi haina "feki".

Swali lenyewe halijatoa maelezo ya kutosha kukusaidia hata kama mtu angekuwa anataka kukusaidia.

Unaomba kutafsiriwa ndoto wakati hata ndoto yenyewe huijui!
Aisee nimependa maneno yaliyotumika kwenye hii comment yako
 
Back
Top Bottom