Interview

M2flan

JF-Expert Member
Jun 27, 2013
414
250
Ongea ukweli uongo njia ni fupi na utakunyima uhuru mbeleni pia kila kitu ulichokuwa wafunika kitakuwa wazi ni swala la mda tu , tunaweza sema kuongea uongo ni njia ya kuhairisha tatizo yaani unasolve kesi kwa mda husika lakini hauimalizi kesi husika. Hapa nitakupa hasara za uongo kwa interview:-
i) Utakuwa kwenye hatari ya kupoteza kazi yako siku za usoni endapo mwajiri akafahamu ulidanganya.
ii)Utafanya kazi kwa pressure coz unahofu ya kugundulika kuwa ni tapeli.
iii) Utakuwa umejiweka kwenye kundi la “Charlatan” huyu ni mtu ambae anaongopa kuwa yeye anaSkills flani huku ni muongo yani sio mkweli. Mfno:- Kwenye interview unasema wewe ni mtaalamu mzur wa Ms Excel or Ms Publisher huku ni muongo siku upo kazini uatapewa Computer utaanza kujamba jamba tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
5,745
2,000
Je ni bora uonge uwongo au ukweli ukiwa unafanyiwa interview. Njia ipi inaweza ikakupatia kazi kwa urahisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipo vitu vya kuongopa na vitu vingine havifai kuongopa.
Kwa mfano huwez kuongopa kwamba umesoma degree wakati uliishia form 6.
Na kitu Cha kuongopa ni pale unapoulizwa,kwa Nini uliachishwa kazi kwenye kampuni uliyofanyia kazi muda uliopita na imetokea labda umefukuzwa kwa sababu ya ulevi,hapo itabidi uongope ili usionekane ni mtu wa hovyo na ukakosa kazi hata Kama hyo kazi unaimudu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jan 24, 2019
36
95
Ongea ukweli uongo njia ni fupi na utakunyima uhuru mbeleni pia kila kitu ulichokuwa wafunika kitakuwa wazi ni swala la mda tu , tunaweza sema kuongea uongo ni njia ya kuhairisha tatizo yaani unasolve kesi kwa mda husika lakini hauimalizi kesi husika. Hapa nitakupa hasara za uongo kwa interview:-
i) Utakuwa kwenye hatari ya kupoteza kazi yako siku za usoni endapo mwajiri akafahamu ulidanganya.
ii)Utafanya kazi kwa pressure coz unahofu ya kugundulika kuwa ni tapeli.
iii) Utakuwa umejiweka kwenye kundi la “Charlatan” huyu ni mtu ambae anaongopa kuwa yeye anaSkills flani huku ni muongo yani sio mkweli. Mfno:- Kwenye interview unasema wewe ni mtaalamu mzur wa Ms Excel or Ms Publisher huku ni muongo siku upo kazini uatapewa Computer utaanza kujamba jamba tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaaah ila kweli kuna kuumbuka mwisho wa siku aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jan 24, 2019
36
95
Vipo vitu vya kuongopa na vitu vingine havifai kuongopa.
Kwa mfano huwez kuongopa kwamba umesoma degree wakati uliishia form 6.
Na kitu Cha kuongopa ni pale unapoulizwa,kwa Nini uliachishwa kazi kwenye kampuni uliyofanyia kazi muda uliopita na imetokea labda umefukuzwa kwa sababu ya ulevi,hapo itabidi uongope ili usionekane ni mtu wa hovyo na ukakosa kazi hata Kama hyo kazi unaimudu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa mfano mwajiri Ana fahamiana na Bosi wako wa nyuma hapo utafanya nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ruralofficer

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
2,105
2,000
Points ya kuchukua ni kwamba sema uongo ambao unaweza kuucontrol siku za mbeleni mfano ukisema una skills fulani,Hakikisha unaifanyia kazi iyo skills to the fullest.
Unaweza kudanganya watu kwa muda fulani(muda huo you must cover your ass hahaha)lakini sio muda wote utawadanganya(hakikisha unakuwa mbele ya muda kabla ya kuumbuka)

Yes uko sahihi kk,hata mm huwa nafanya hvyo.
Unaongopa kitu lakini unajua watakubana wapi na utadefend vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
5,745
2,000
Sasa kwa mfano mwajiri Ana fahamiana na Bosi wako wa nyuma hapo utafanya nini

Sent using Jamii Forums mobile app
That is a very rare case.
Na kingine pia kwenye interview ukijieleza vizur na ukaonyesha how smart you are then hapo umemaliza kazi.
Wenye makampuni huwa hawana muda wa kumfuatilia mtu kivile labda kwenye kazi nyeti Kama zinazohusiana na usalama au vitengo vya juu Sana ambavyo vina ushawishi wa ufisadi.

So tufanye kazi ya uwasibu si wanaweza wakapiga research ya kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom