Interview ya urubani China, kukaguliwa kwapa kwanza

msemakwelii

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
216
47
Shirika maarufu la Uchina, HAINAN AIRLINE limeweka masharti kwamba mbali na elimu na uzoefu lazima usinuke. Ukiwa mwili wako una harufu mbaya basi kazi huna. Ni China huko.Kwa mujibu wa gazeti la SZ News shirika hilo katika kuajiri marubaNi wapya lazima mtu ananuswa makwapa.
Ukiwa unakikwapa, au makwapa yako yana harufu unanyimwa kazi.
Kabla ya kuajiriwa katika shirika hilo la ndege. Hatua ya kwanza ni kunuswa kwapa zako.
Wakuu wa shirika hilo wanajitetea wakisema, kwa vile marubani wanafanya kazi karibu zaidi na watu basi ni lazima wasiwe na harufu ya kutisha kwani harufu mbaya ya miili yao au makwapa Kwa wateja, Je hii ni sawa kweli na hapa kwetu Bongo ianzishwe kwenye ajira za Makondakta wa daladala

Elimu peke yake haitoshi kumpa mtu kazi.

121123222950_kwapa_304x171_internet_nocredit.jpg
Wanuswa kwapa kama mahojiano

Hata ujuzi pia hauna maana.
Huko ni China.
Shirika maarufu la Uchina, HAINAN AIRLINE limeweka masharti kwamba mbali na elimu na
 
Huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Harufu ya kwapa haitokani na uzembe au ujinga wa mtu! Arm-pit odour is a productof body chemistry. Usafi na marashi hupunguza tu ukali wa harufu ila hauondoi harufu yenyewe. Uamuzi wa wahusika wa hilo shirikala ndege hawakutumia sayansi kufikia uamuzi wao ila wametumia pua zao tu.Masikini- nimekumbuka Tianamen Square!
 
Haki za binadamu china ?
 
Interview ya namna hiyo ilipaswa kufanywa kwa wahudumu, wao ndio wanaopita karibu na watu kila wakati wakigawa chakula na vinywaji. Marubani hjifungia kwenye vyumba vyao pale mbele, unaowaona kwa mbali wakati unashuka. Wahudumu wawili wakati wa kushuka husimama pembeni ya mlango wa kutokea na kutwambia ..bye bye....hao ndio wanuswe kwapa.
 
Back
Top Bottom