Interview ya TPDC utata mtupu!!!

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
Nilimpeleka jamaa yangu Msimbazi Centre kufanya usaili wa TPDC...ameingia alfajili kutoka Sengerema Mwanza,baada ya kumfikisha niluenda zangu job kwa makubaliano ya kumfuata akitoka ktk usaili.
Kumbe hawa jamaa walitoa shortlist mbili baada ya yakwanza kusema waliikosea na kupunguza majina kuanzia mia na kitu,ajabu jina la mshikaji lilikuwa kati ya moja na ishirini...Gazeti la majina ya pili hakuwa nalo,so alijua kaitwa,baada ya safari ya usiku mzima anafika anaambiwa jina lake halikutolewa ktk majina ya mara ya pili,hivyo hana nafasi ya kufanya usaili,akatoa gazeti akawapa na kuwaonyesha jina,wakamkatalia wakasema wao wanajua shortlist ya pili na si ya kwanza.
Kwa kweli kuna vitu ktk maisha ni mtihani,umbali mrefu wa Sengerema to Dar,kulala Moro na kuamka alfajiri kuja Dar lkn no usaili..Kwa kweli hizi ajira ni majanga.
 
Heee jmn its sad mpe pole sna na yy angekomaa aonyeshwe hyo majina ya pili,kwel world is unfair

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Heee jmn its sad mpe pole sna na yy angekomaa aonyeshwe hyo majina ya pili,kwel world is unfair

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kwa kweli dunia hii haiko fair kabisa...a travel distance from Sengerema to Dar then unamchinjia mtu hata asifanye usaili...na kama kigezo ni kuwa ulipunguza majina kuanzia serial namba ya mia moja na ushee,vipi kwa huyu mwenye jina kati ya moja hadi ishirini asiwepo ktk hiyo second shortlist??....basi tu
 
To and Fro, approximately your friend lost 150,000Tsh plus his precious time.
 
Ukiambiwa kilichotokea leo ndio utachoka...achana na hii nchi bwana..kwa ufupi mtoto was Rita mlaki wa mwisho kapata ushindi wa mezani kwa nafasi ya Admin officer kama utani vile...
 
Ukiambiwa kilichotokea leo ndio utachoka...achana na hii nchi bwana..kwa ufupi mtoto was Rita mlaki wa mwisho kapata ushindi wa mezani kwa nafasi ya Admin officer kama utani vile...

Unamaanisha mtoto wa Huyu Mbunge: Rita Louise Mlaki - Wikipedia, kamusi elezo huru au? Anaitwa Moureen Mlaki Julius. Aliitwa hadi kwenye amplitude test pspf. Ila kielimu yuko njema, si amesoma Moi Univ Master of Banking & Finance, grad wa 2012.

Ebu tufunulie zaidi mkuu.
 
Ukiona hivyo ujue kuna watu wao wameshaandaliwa nafasi...sasa wanaweka tu zengwe ili kupunguza watu kimabavu kuanzia kwenye usahili.

Nyambafu zao waonevu wote kwenye ajira, nyambafu zao Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania na kitengo chao cha HR
 
Ukiambiwa kilichotokea leo ndio utachoka...achana na hii nchi bwana..kwa ufupi mtoto was Rita mlaki wa mwisho kapata ushindi wa mezani kwa nafasi ya Admin officer kama utani vile...

duh watu wanajikamua kutoka Sengerema kumbe nafasi tayari imeshapangwa kuwa ni ya fulani
 
Ushindi wa mezani upo kila sehemu kwa watoto wa wenye nchi..

But hii ya kumchinjia baharini mtoto wa mkulima alietoka sengerema kuja interview Dar na umemwita gazetini ni kujitafutia laana..
 
halafu mie nilionaga pia first day walitoa majina na kesho yake wakatoa tena

nikajua wamerudia tu watu ambao hawakupata nafasi ya kuona jana waone leo kumbe

wana Mission zao..mwenye nacho anazid kuongezewa
 
Unajua ni wakati wa kuchukua uamuzi mgumu....hii kulalamika lalamika haisaidii sisi kama vijana ambao tunategemewa katika nchi hii tuache kulalamika bali tuangalie system nzima ya nchi hii ilivyooza kuna hili suala la UBINAFSI nani anajua kwanini wametoa shortlist mbili? Ni muda wa kufanya uamuzi mgumu...
 
Back
Top Bottom