Interview ya TAs UDOM

young lady

Member
Apr 3, 2012
12
11
wadau, je ni kweli interview ya TAs imeanza kufanyika Udom? Sijaona shortlist bado, bt nasikia kuna kada zimeanza kufanya
mwenye kujua anijuze plz
 
wa LLB ndio wamefanya ila kwa department nyingine bado. vp we umeomba nini?

wadau, je ni kweli interview ya TAs imeanza kufanyika Udom? Sijaona shortlist bado, bt nasikia kuna kada zimeanza kufanya
mwenye kujua anijuze plz
 
niliomba kwa zile post zilizotangazwa end august...ambazo walicall for interview zile administrative posts, and sijaona call for intrvw kwa academic posts...na niliomba health fields
 
Hiyo TAs ni nin labda ujaribu kutuelewesha na wengine labda kuna ndugu zetu au rafiki waliomba hiyo TAs!
 
Prakatatumba, is it the message from UDOM? duh...okay, probably they are using this mode of communication recently.Okay thanks for your information, lets wait for other posts to be publicised!
 
Sms kutoka UDOM, ningeipost hapa sema kwa sasa hivi sina
Prakatatumba, is it the message from UDOM? duh...okay, probably they are using this mode of communication recently.Okay thanks for your information, lets wait for other posts to be publicised!
 
TAs=Tutorial Assistant mkuu,next time ukiona huelewi kitu,ujue hakikuhusu,napita tu!!

Kama kitu hakikuhusu ni vibaya kukifahamu mkuu? si ndo mtu unaongeza maarifa bwana mbona unakuwa na mawazo ya kina lusinde lusinde japo asante kwa kunielewesha mkuu ndo raha kuuliza kama kitu hufahamu unafahamishwa!
 
Sorry mkuu,it was a joke,sikuwa na nia mbaya!!pamoja
 
mkubwa bada ya kufanya hiyo interview moambiwa majibu mtapatiwa lini??ama ndo wataweka kwenye website yao majina?au mtapigiwa simu??....
 
heshma zenu wanajamii forum!!!
hv watu ambao walifanya oral interview udom tokea wiki mbili zilizopita na wengine tokea mwanzoni mwa mwezi huu ..hamna ambao maweitwa kwenda kazini???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom