Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,234
Baada ya Dozen kuhama Clouds FM, Leo XXL wamemfanyia mahojiano Nikki mbishi kuhusu bifu yake na Wakazi pamoja na kuhusu diss track ya P Mawenge, baada ya mahojiano wakawaunganisha live kupitia simu wakazi na p mawenge.
Kiukweli nikiri tu wazi kwamba interview nzima ilikuwa kituko, pengo la B Dozen limeonekana wazi wazi,ukiacha Mchomvu na Mina ally kuuliza maswali pasipo mpangilio, wazo la kuwakuwaunganisha live wasanii hao mahasimu sijalielewa. Je walitaka kuwapatanisha au Kuwagombanisha na kuchochea ugomvi zaidi? Maana mwisho wa siku hawajapatana wameishia kuzozana tu on air, ndiyo maana media zinalalamikiwa kusapoti bifu.
XXL mmefeli kabisa, mnaonesha wazi mmekosa dira baada ya kuondoka kwa Dozen.