Siku chache zilizopita niliitwa mahali kwa ajili ya interview! Kiukweli, hii kwangu ilikuwa ni interview ya aina yake ambayo sikupata kuishuhudia tangu naanze mambo ya kusaka ajira! Pamoja na wasahiliwa wengine; pia nilikuwapo mimi na mshikaji mmoja ambae nafanya nae kibarua kwenye ofisi moja.
Kulikuwa na session tatu. Asubuhi kabla ya saa tano, tulifanyiwa usahili wa kawaida tu ambao ulilenga kufahamu background yetu. Ilipofika saa nne unusu; tukaenda kupigwa bonge la tea!!!
NIKASHANGAA!
Baada ya tea, tukaenda session nyingine ambapo hii ilikuwa ni oral interview ya mmoja mmoja! Ilipofika zamu yangu, pamoja na mambo mengine nikaulizwa maswali ya ndani kabisa yanayohusu kampuni ninayofanyia kibarua! Wakataka kufahamu hadi namna products/services zinazotolewa pale ofinini kwetu zinavyobamba wateja! Maswali haya yakanishangaza sana na kimsingi nikashindwa kabisa kuvumilia na ndipo nilipowauliza are all these parts of interview or something else! Wakanijibu ni part of interview questions! Palepale jamaa nikajuwa wanachotaka toka kwetu sio kutuajiri bali walikusudia kufanya marketing intelligence! Na kwavile sikuwa comfortable na aina hiyo ya maswali; nikawaambia wazi kwamba am not comfortabale with such types of questions therefore ive no answer! Wakaniambia msahiliwa hana uamuzi wa kuamua ni swali gani aulizwe na lipi asiulizwe!!!
Baada ya kuona sitowi ushirikiano, wakanipiga maswali ya faster faster na wakaniambia nisubiri final session! Hata hivyo, sikusubiri bali nikasepa zangu! Jioni ilipofika, nikakutana na mshikaji wangu ambae tulikuwa wote interview! Nilipomuuliza baada ya second session, nini kiliendelea; akajibu ilipofika mchana walipigwa bonge la lunch! Na nilipomuuliza maswali ambayo waliulizwa, kwakweli iliniuma sana! Sikumchelewesha, pale pale nikamwambia kwamba amemsaliti mwajiri.
Nimetoa simulizi ili kuwatahadharisha watu! Bila shaka mtindo huo unatumika sehemu mbalimbali! Lets not be cheap bana! Hao jamaa inaelekea badala ya ku-invest kufanya research wanaamua kutumia watafuta kazi kwa ujira wa chips kuku! Kama nawe umeshawahi kukutana na interview ya aina hii na ukatoa ushirikiano, basi fahamu fika kwamba umemsaliti mwajiri wako.