Interview with Jakaya Kikwete, president of Tanzania

And by the way. Bob Geldoff is the man! Do you hear this man speak for Africa?

Outstanding!
 
Naona FT wame i soap up interview lakini waalipofika katika "fiscal and financial" uzalendo ukawashinda.

Huyu jamaa kweli ana degree ya uchumi? Hivi UDSM walimfundisha nini? "fiscal and financial" indeed!
 
IMF MEETING IN DAR

Here are the concluding remarks from the panelist accessed to the link below

Concluding Plenary » Africa is changing...

I fully agree with Travor Manuel, you can't make make most out of IMF if you can't have local experts to engage with IMF staff. Bob Gedouf is raising important point, investment in business require established institutions like legal framework (commercial law and business courts), infrastructure and trained human resource. Many African countries don't have basic legal framework for business protection. Also, Africa does not have a single voice and therefore can't have an edge in business negotiation.
 
investment in business require established institutions like legal framework (commercial law and business courts), infrastructure and trained human resource. Many African countries don't have basic legal framework for business protection. Also, Africa does not have a single voice and therefore can't have an edge in business negotiation.
Halafu mnamwona Gaddafi ni kichaa lakini kasema mzungu watu tunapongeza yale yale alokuwa akiimba miaka nenda rudi!..
 
Ukisoma kwa makini interview ya Kikwete na FT itagundua kuwa mindset ya Jakaya ni DEPENDENT; maana yake ni kwamba anadhani suluhisho ya matatizo yetu yote yatatoka nje ya mipaka yetu!! Ndio maana anang'ang'ania kuwa hizo developed countries zitupatie part ya stimulus packages zao ilituweze kujihami na financial meltdown inayotunyemelea; anasahau kuwa hizi developed countries obligation yao ya kwanza ni kwa watu wao na sio kwetu!! Ingekuwa vyema kwa kikwete badala ya kupoteza muda kwenda kubembeleza wakina Gordon Brown watusaidie, angetumia muda wake kuhakikisha kuwa bandali ya DSM inafanya kazi kwa ufanisi na kumaliza mlundikano wa makontena bandalini in so doing ataongeza ufanisi wa bandali na kuongeza mapato ya serikali yake!! Jakaya aache uVasco Dagama atulie nyumbani kutatua matatizo yanayotukabili; muungwana bado anadhani ni waziri wa mamboya nje!!
 
Back
Top Bottom