Interview with Benjamin Mkapa

Skype

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
7,271
1,195
kama jamaa angalitenda aliyoyasema, basi tusingalifika hapa tulipo, yaani mikataba feki, uwizi na ufisadi tusingalikua nao kabisa hapa tz, lakini leo tazama!!!!!! Tatizo la viongozi wanasema sana lakini wanatenda kidogo au hakuna kabisa, tutafika?????:wave:
 
Zed

JF-Expert Member
Mar 28, 2009
369
250
Jinsi anavyo ongelea swala la katiba ningelitarajia angalikua ameanzisha angalao process ya kupata katikba mpya TZ wakati wa urais wake! Lakini kuwashauri wengine tu yupo saana, hapo ndipo viongozi wa Africa wanapotumalliza nguvu ...a kutenda yeye mmh!
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,609
2,000
kama jamaa angalitenda aliyoyasema, basi tusingalifika hapa tulipo, yaani mikataba feki, uwizi na ufisadi tusingalikua nao kabisa hapa tz, lakini leo tazama!!!!!! Tatizo la viongozi wanasema sana lakini wanatenda kidogo au hakuna kabisa, tutafika?????:wave:

hujuwi kuwa neno maana ya Siasa ni uongo wa hali ya juu sana . Ndugu wananchi nawaombeni Mukini chaguwa nitawajengea Barabara ya kwenda juu toka kariakoo mpaka ubongo nawaombeni kura zenu munipe. Mukimpa kura awe ndio kiongozi aliyoahidi hatafanya hata moja ndio maana ikaitwa Siasa Uongo wa hali ya juu sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom