Interview utumishi

EveningStar

JF-Expert Member
Nov 14, 2018
262
162
Habari zenu wakuu,

Kwa wenye uzoefu wa interview utumishi, hivi unatakiwa ujibu maswali mangapi kiufasaha kwenye oral ili uweze kujihakikishia nafasi ya kuchaguliwa kazini
 
Unaweza jibu yote na usipate kazi ila hakikisha tu Maswali yote unajibu vizuri mkuu hakunaga GUARANTEE kukuhakikishia wewe utapata kazi maana pale unashindana na wenzio bahati pia inaweza husika.

From my Experience sijawahi kutana na Maswali Ambayo siyajui na huwa nayajibu vema maana maswali huwaga ni Competent Based na tena ORAL ni simple kuliko Written ila nimegonga ORAL 3 na zote sikubahatika itwa na ilitokea kwa Rafiki yangu 2017 kipindi ajira zinafunguliwa na Database ilikuwa haina watu kwa alichonihadithia katika maswali 7 aliyajibu kwa uhakika 5 ila now yupo kituoni Mkuu kupitia Database.

Ko Muombe MUNGU kila mtu na bahati yake hakunaga GUARANTEE kama ni yako utatoboa tu haijarishi mangapi umejibu ila usiweke mategemeo sana maana ukikosa utaumia sana.
 
Kweli mkuu ni bahati tu, mimi jana nilipiga oral nafasi ni 14 na tuliokuepo ni 54
 
Hapo una nafasi nzuri sana ya kuitwa KAZINI bila shaka ratio nzuri tu ya 1:3,Mimi huwa napiga ORAL za watu 11 nafasi 1 au nafasi 2 watu 15 nadhani unapata picha ushindano unavokuwepo hapo ukiachana na Written tuligonga watu si chini ya 300 tukapenya 11.
Bahati tu, aisee maana sijuhi mgawanyo wa marks ukoje?
 
Yeah hiyo ni SIRI pia Mkuu kuna mda maswali yanakuwa 5 kuna muda 7 ko hapo hapo hakueleweki Mkuu na pia Huwa wanasema ukipata zaidi ya 50 unabaki kwa Database na pia inabaki kuwa Siri yao kama Upo ama lah😆😆 kuna mda hawa jamaa ukiwawekea mategemeo sana unaweza ukawa na stress tu na kujiuliza hivi nashindwaje kupata hata 60 Maswali yale maana ni Competent based majibu hayabadirikagi sana tena maswali yenyewe Mention au List.
 
Yeah hiyo ni SIRI pia Mkuu kuna mda maswali yanakuwa 5 kuna muda 7 ko hapo hapo hakueleweki Mkuu na pia Huwa wanasema ukipata zaidi ya 50 unabaki kwa Database na pia inabaki kuwa Siri yao kama Upo ama lah kuna mda hawa jamaa ukiwawekea mategemeo sana unaweza ukawa na stress tu na kujiuliza hivi nashindwaje kupata hata 60 Maswali yale maana ni Competent based majibu hayabadirikagi sana tena maswali yenyewe Mention au List.
Sisi yalikuwa 5, na sijuhi marks wanazitoa palepale maana wananote down majibu unayotoa
 
Ya wana note na Ukiwafurahisha yaani mpaka wanatikisa vichwa na kutoa tabasamu niliingiaga oral Mara ya kwanza nikadondokea Pua mara ya Pili nikaingia Oral 2 nikapasua wakanichagua moja
 
Watu tushafanya sana oral. Lakini hatujawahi itwa kazini. Sometimes nafikiriaga maybe wanakuwaga na watu wao. Mtu unakaza written watu 700+ unafika oral unakaza nayo mwisho wasiku no job no nin nagharama zote ulizoingia. Daaaah #Inaumasana
 
Doh acha mzee na bado hukosi TOP 5 ila matokeo yakija mapicha picha na mule ndani huwa yanatoka maswali ya FIELD yako tu ambayo ni mepesi kushinda ya WRITTEN Pia hayahitaji hata mbwembwe ili kuyajobu jamaa kwa sasa wana maajabu yao huo ni ukweli HALISI.
 
Sijui nakosea wapi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom