Interview sekretariet ya ajira.

Jamani swali limekua gumu?.hata kudesa tumeshindwa?
 
wapigie sim uwaulize, labda wali badili mawazo wakafanya internal promotion...
 
tte kama namba yao unayo wapigie waulizie na utupe majibu kwa faida ya wengi hapa.nimeuliza swali hili nikijua wapo watu hapa wana updates kutoka huko maana labda wanafanya kazi huko,wanamashangaz,majiran zao n.k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom