INTERVIEW SAVE THE CHILDREN

Malafyale01

Member
Feb 10, 2017
56
24
Wadau poleni na kazi. Jamani kama kuna mtu aliomba nafasi ya kazi katika shirika la save the children tanzania week tatu zilizopita na anajua status yake kama wameitwa interview au la maana walisema baada ya week mbili watatupa mrejesho kwa hatua ya pili lakin naoma kwangu kimya isiwe nasubiri kumbe mambo ndo yameisha hivo. Msaada tafadhari..
 
Note: If you will not hear from us two weeks after the appearance of this advert consider yourself unsuccessful.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom