Interview: Mch. Mtikila na Njogopa wa Clouds FM

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
huyu jamaa ni noma wazee, kafanya interview moja bomba sana,ni sawa na ile aliyoifanya DK SLAA wiki mbili zilizopita na george kanuti njogopa wa claus ingawa sikuwahi kuirekodi lakini ya huyu mchungaji nishairekodi na nitaiweka hapa very soon kwani nina pirika kidogo na haka kasikukuu hapa nyumbani.......stay tuned
 
We are dying to get it!
Yaani bora ungeleta hii mada baada ya kuwa umemalizana na kupokea zawadi za sikuku!
 
mkuu nimesikiliza, nadhani its the best interview tangu kampeni zianze... the guy is really mwanamapinduzi, nikiipata ntanunua hata kwa 50,000 ameanika mambo kwa ufasaha zaidi
 
Sizinga weka mambo haradharani mkuu tuone kama ni pumba ua mchele, ila mzee namwaminia sana sitegemei pumba.
 
Mtikira, wakati mwingine huwa anajikanganya, lakini ni mwanamapinduzi mzuri, na mara nyingi napenda kumsikiliza ... tafadhali tuwekee hapa hiyo interview yake tumsikilize.
 
Kwa kweli nimesikiliza ile interview na Nimefurahi sana, Mr. Njogopa hiyo redio unayofanya kazi kwa sasa haikufahi uko next level find the means to move. au wakupe kile kipindi cha Jahazi na yule mropokaji EF aende likizo ya Kudmu.
 
huyu jamaa ni noma wazee, kafanya interview moja bomba sana,ni sawa na ile aliyoifanya DK SLAA wiki mbili zilizopita na george kanuti njogopa wa claus ingawa sikuwahi kuirekodi lakini ya huyu mchungaji nishairekodi na nitaiweka hapa very soon kwani nina pirika kidogo na haka kasikukuu hapa nyumbani.......stay tuned

Three hours Have elapsed!
 
......................Mzee Sinziga BADO PILIKA PILIKA HAZIJAISHAA?? tunangojaaa Au wenzangu mmeshapata hiyo nakala ya Interview??
 
Hivi mnaotaka hiyo inteview mpatiwe kama ni haki yenu mnafikiri huyo mtu atawaletea vipi na kwa gharama ya nani?
 
mkuu nimesikiliza, nadhani its the best interview tangu kampeni zianze... the guy is really mwanamapinduzi, nikiipata ntanunua hata kwa 50,000 ameanika mambo kwa ufasaha zaidi

mwombe radhi muumba aliekuleta dunian kabla atujakusamahe dhambi zingine ata tukikusamehe kama ujasemehea na aliekuleta ukumu iko pale pale
 
Oya wazee samahanini sana kwa kuchelewa kuiweka,ila nishamaliza pilikapilka hapa so nai-upload sasa,very soon mutaipata.........
 
SIZIGA sisi tulio ughaibuni tuna hamu ya kuisikiliza hata kama imepita one wk, tuwekeeeeeeee!!!!!!! Mtikila huwa namkubali siku mojamoja hasa akili zake zikiwa zimetulia, akiwa offline huwa ananiudhi sana: Upload aiseeeeeeee;
 
Oya wazee samahanini sana kwa kuchelewa kuiweka,ila nishamaliza pilikapilka hapa so nai-upload sasa,very soon mutaipata.........

Tangu jana hadi leo, iko wapi sasa ndugu yangu? Au lilikuwa ni changa la macho?
 
Back
Top Bottom