Nilishasema " Huwezi kudanganya watu wote muda wote" Kuna siku ukweli wa genocide utawekwa wazi kuwa hii ni political tool ya kagame ili du ighilibu dunia. Waliokufa wengi waliuawa na RPF na wala si na wahutu wenye msimamo mkali. Walikatwa vichwa ili iwe vigumu kutaambua identiy yao. Wahutu hawana imani kabisa na Kagame lakini hawana la kufanya, wamezungukwa dunia nzima. Kagame amekuwa kama muungu mdogo, ni mtaalamu wa propoganda na kupika stori! Siku moja ukweli utakuwa wazi.
....another garbage,endelea kusubiri huo ukweli wako wa kufikirika!