Interview kwenye kampuni inayodeal na mafuta

konda msafi

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
1,666
8,582
Heshima kwenu wakuu.
Kuna mwanafunzi wangu amenipigia simu akiniomba dondoo za kujiandaa na interview ya kampuni inayodeal na fuel. Aliomba kazi ya uhasibu kwenye hiyo kampuni, na amebarikiwa kupata nafasi ya kuitwa kwenye interview. Ameniomba kama naweza kujua uwezekano wa maswali yanayoweza kuulizwa. Huyu jamaa alikuwa mwanafunzi wangu wa CPA review classes, hivyo alikuwa anaamini labda naweza kumsaidia ajiandae sehemu gani. Nimemjibu sijawahi kuhudhuria interview ya kampuni inayodeal na mafuta hivyo siwezi kujua likelihood ya maswali anayoweza kukumbana nayo zaidi nimemshauri afocuss labda kwenye tax reforms na awe competent kwenye preparation ya Financial Statements na IAS. JF ina watu wa kila aina, nimeona labda anaweza kupata msaada huku. Naombeni mawazo yenu wakuu.
 
Atengeneze maswali mwenyewe kufuatana na 'job description' , pia aelewe kwa nini amekuwa muhasibu badala ya kada nyingine
 
mbon rahisi sana afikirie wakat ule anaandika barua nani alimsaidia ivyo ivo atumie brain yake kufukiria maswali
Wabongo acheni kumezewa jifunze kutafuna wenyew
 
Back
Top Bottom