Interview kwa walioapply rotary scholarship.

Old Moshi

Senior Member
Jul 31, 2011
118
32
kwa anaejua hili naomba anisaidie. Ni maswali gani yanayoulizwa kwenye hiyo interview. Nini hasa ninachotakiwa kufanya au jinsi ya kujibu maswali ili niweze kuipata iyo scolarship.
 
uwe unajua mambo ya freemason

Kumbuka scholarship yako ikimalizika unakuja kuwatumikia hawa freemasons

Best wishes
 
Back
Top Bottom