Interrogating CHADEMA and UKAWA decision of accommodating Lowassa (Uchambuzi wa kina kuhusu uamuzi w

Hii inaletwa hapa kwa sababu maalum

cc: Mzee Mwanakijiji
ChamaDola said:
Mabadiliko ya Uongozi wa Juu CHADEMA Ndio Pona, afueni na ahueni pekee iliyobaki!

Kweli kabisa, tunahitaji sana chama mbadala kwa CCM, lakini sio CHADEMA ya sasa! Mabadiliko yaanzie kwanza ndani ya CHADEMA ili kiaminike kuleta mabadiliko nchini, vinginevyo tutakaa sana kwenye huu mzunguko usio na mwisho!
 
Back
Top Bottom