Internship total company limited

tricecriss

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
225
59
Habari wana Jf?
Mimi ni graduate na ni mwanafunzi wa law school of Tanzania. Nimeona tangazo la kazi zoom la total kuwa wanatafuta legal officer na senior legal officer sasa mimi ningependa kufanya internship pale mbali na hizo nafasi walizotuma . Kuna anayejua wa kwenda kuonana nae?, na kama anacontacts zake kama anaweza kunisaidia.
Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom