internet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

internet

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sop sop, May 26, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  naombeni ushauri wenu tafadhali....
  ninataka kufungua internet cafe je? ni vitu gani vya muhimu vinavyohitajika niwe navyo ili angalau niweze kuanza...!!!!
   
 2. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  mtaji/pesa/money
   
 3. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  sina maana hiyo,kitu ninachokihitaji nijulishwe vifaa ambavyo vinatumika katika internet cafe.
   
 4. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Mahitaji:
  1. Kompyuta nyingi (zaidi ya mbili)
  2. Umeme
  3. Chumba
  4. Meza na viti
  5. Mfanyakazi
  6. Kufuli kubwa la solex
  7. Internet
  8. Printer 1
  9. Hub
  10. Cables
  11. UPS kadhaa
   
 5. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  inategemea una mpango wa kuingiza computer ngapi kazini,kama una computer chache na una mpango wa kuweka huduma kwa watu wengi,nakushauri utumie thin client,hapo utahitaji CPU moja na screen,mouse,na keyboards kadhaa,unaweza ukatumia computer hiyo moja kutoa access kwa watu hadi kumi,kwa maelezo zaidi kuhusu thin client,google kwanza uone faida zake,then niPM kama utahitaji huduma hiyo.for a start,hakikisha hapo unapoweka kuna market,pia uwe umepata location nzuri,na utumie vifaa vinavyotumia umeme mdogo kama flat screens etc,pia unapochagua ISP,hakikkisha unachagua kampuni ya uhakika ili kupata bandwith yenye ubora,pendelea kutumia the latest technology.kila la kheri mkuu.
   
 6. c

  charle Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka hata mimi nimepata jipya hapa
   
 7. Mawaiba

  Mawaiba JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  zerooo....!
   
 8. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,290
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Braza hili ni somo ulilolitoa bila ya tuition fees.... Thank you!
   
 9. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  hapo namba6 umenichekesha sana
   
 10. B

  Brother Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kuuliza, ukiwa na Lile dishi ambayo naona mengi yapo kwa cafe kubwa utapata internet free? Alfu yanauzwa sh. Ngapi?
   
 11. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,715
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  wanalipia
   
 12. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,770
  Likes Received: 7,085
  Trophy Points: 280
  Ila wireless (hayo madishi) zinakua cheap kuliko hii mitandao jaribu kuuliza kwa eneo lako maana eneo langu ni dola 60 kwa mwezi
   
 13. realpatriot

  realpatriot Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  kabla hujaamua naomba nikushauri jambo sina maana ya kukurudisha nyuma na maamuzi yako lakini bizna hiyo cku hz inazngua unless uwe na location nzuri nna watu wangu wa karibu 2 wamefunga hiyo bizna so fanya research ya kutosha
   
Loading...