Internet ya Halotel yakosa nguvu, kama wameshindwa kazi waseme

Iyo alotel hunahipata hukiwa api?

Mahana kila maali huha kuna mtandaho tofautiii, inatemehana heneho hulilopoo.
 
Kwakweli naomba kama alotel wameshidwa kukaa na kasi yao ya internet wajiondoe ijulikane moja,make internet yao ata kinyonga anahafadhari
Nenda haloshop kabadili laini upewe ya yenye 4G hill tatizo litaisha
 
Niliamua kusajili laini ya Halotel baada ya kuona Vodacom wamegoma kurejesha vifurushi vya awali, kiukweli Halotel Speed yao iko low sana, eneo nilipo kuanzia saa moja asubuhi hadi saa kumi jioni halotel iko slow mno, ila kuanzia saa kumi na moja jioni hadi masaaa hayo ya usiku iko na speed balaaa. Nashindwa kuelewa sijui watumiaji ni wengi.
 
Mimi nimehamia halotel juzi baada ya hii mitandao kupandisha bei ya vifurushi kwa kweli naona wako vizuri speed na hata bei za vifurushi.
 
Hivi Ofisi zao zinapatikana Wapi Upande Wa Kariokoo na Posta?
Nataka niwaibukie Washenzi saana hawa.
 
Full 4G
Screenshot_20210410-124317.jpg
 
Back
Top Bottom