Internet ya bure

Mzux D

Member
Dec 8, 2010
15
0
Wakuu vp nisaidieni jinsi gani ku-setting up intaneti ya bure kwenye simu na laptop?
 
Dr phone umri culz hapa mie. Kuna jamaa m1 kaniambia ukiweka confir ya voda intanet na ubadl line ya zain hapo ndo utaona bure.
 
Dr phone umri culz hapa mie. Kuna jamaa m1 kaniambia ukiweka confir ya voda intanet na ubadl line ya zain hapo ndo utaona bure.

fafanuaa mkuu ili tusaidiane mawazo na unaposimuliwa jambo na m2 uckimbile kuja kufungua new treat hapa kwani magreatthinker wapo bze kutoa solution others utakutana na majibu ya ajabu ajabu
 
Huko tunakoelekea itabidi kabla huja join jf ulete cheti cha kuzaliwa tuhakiki umri wako.
vipi dogo upo std 7 au ndio unaanza form 1 mwakani?

yep ingesaidia mambo mengi kama haya ya kukurupuka ila nina nyongeza yakuongezea hapo kwamba itabidi na wanajamii wote wasajiliwe kama line za simu tulivyosajili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom