Internet ya bure!!!

cheeter

JF-Expert Member
Apr 19, 2011
475
155
wapendwa!! Embu tuwe serious kidogo hapa... hatuwezi kupata namna ya kupata free internet...i have been reading, n still reading on how to get a free access to internet...Nigeria, South Africa, Kenya watu wana bofya bofya buure, sisi tu
India per month unlimited internet with a fast speed unachajiwa dola 2 tu...sasa Tz, kutokana na gharama bado ipo juu....Kuna mtu anaweza akatupa namna ya kuchakachua...Modem tumeweza, net ssa??
 
Na hata tukifanikiwa hyo loophole tutakayopata itafungwa mda c mrefu na ISP tutakaefanikiwa kumhack coz tutakua tushawambia jinc 2livowahack,na wao wanaingia humu humu!
 
Poa wadau majibu yenu ni mazuri...nipo kwenye uchunguzi nikipata nitaiodondosha humu..
 
Jamani watz wenzangu mbona ufisadi tunaupenda hivi? Huu uchakachuaji n ufisadi wa aina yake. Tupinge ufisadi kwa vitendo jamani.
 
Jibu sahihi ni sijui...sio mnajifanya watu wa haki humu ndani.....mtu mwenye ujuzi atujuze..hii itawapa challenge kuhusu zecurity zao....ndomaana ikaitwa technlgia...na stak mnijibu
 
Tuweni serious waadau.... SUKARI na Technolojia wapi na wapi?? Hili jambo linawezekana kama unaona haliwezekani ni kwako..... nalifanyia mchakato nimesema so wewe subiri nikutafunie....
 
mwenye tatizo la trial softwares kama IDM n.k anyooshe hapa maelezo....
 
nimewahi sikia kuna kitu kinaitwa independent isp

sijui ni kitu gani
but kinatumika mno duniani

ma spy wanatumia
watu wenye kusafiri mbaali sana
majangwani hivi,kwenye space,baharini...n.k
 
Niliwa kutumia internet bure takribani one year kwenye cm Celtel by 2007 ila cku niliyobadirisha line na settings issue iligoma mpaka leo cjafanikiwa tena ila nifanikiwa tena u gn get it.
 
waungwana lets talk technogology kama si hackers unafkiri watu wangeingia zama za ajax na php?? Si watu wangetumia html tu? Kama mtandao una udhaifu tumia huo udhaifu dhen wataimprove. Si vizuri jukwaa la technology tutalk siasa humu sjui sukari sjui nini

mwanzisha thread eehh net zabure zipo but watu wanaogopa kumwaga hadharani maana wanaogopa. Atleast kuna watu mewaona wameandika ya zantel.
 
"in every strong security there is weakness behind it" Mbele Pamoja na security yao kua strong ila still wa2 wana penetrate tu...Mdau ulivyosema kuwa kuna watu humu wanajua sema wanaogopa kudondosha sawasawa ujakosea...
 
Kama wapo siyo mbaya waka pm wa2 kwa siri ıtakuwa nı vzurı sana.
 
Tuweni serious waadau.... SUKARI na Technolojia wapi na wapi?? Hili jambo linawezekana kama unaona haliwezekani ni kwako..... nalifanyia mchakato nimesema so wewe subiri nikutafunie....
<br />
<br />
Sawa mkuu!
 
Niliwa kutumia internet bure takribani one year kwenye cm Celtel by 2007 ila cku niliyobadirisha line na settings issue iligoma mpaka leo cjafanikiwa tena ila nifanikiwa tena u gn get it.

Mimi nilibweda tigo miezi 6, siku nikajifanya mjuaji kubadili sijui vitu gani, ikala kwangu hadi najuta sasa
 
Back
Top Bottom