Internet UNLIMITED ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Internet UNLIMITED !

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by atlwindows, Sep 21, 2010.

 1. a

  atlwindows Member

  #1
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo Wakuu wangu,

  Nilitaka ku nunuwa internet kwagili personal use, sasa sijui kama nichukuwe ya kampuni aina gni ?
  I need UNLIMITED.. and CHEAP (ofcourse :p)

  TTCL- Nime sikiya TTCL wanayo UNLIMITED kwa 40k per month .. is it worth ? how much is their modem ?

  ZANTEL- Wanayo ofa ya modem kwa shs50,000 and but NOT unlimited...

  Plz give your EXPERIENCE and views... :)
   
 2. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Chukua modem ya zain, kwa sh 60000 tu. upate 8gb/free ya kutumia mwezi mzima. then after 1month utakua ukilipia
  either 500 per day au utakua unajiunga na vifurushi vya mwezi kwa sh 2500/= utapatiwa 400mb. Kwa sasa Zain ni cheap
  kuliko mitandao yote ya kifisadi.
  BTW For unlimited Internet next year usisahau ku vote Kwa mpenda haki na Mkombozi wa kweli Ndugu DR W SLAA.
  -Ahsante
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu, inategemea wewe kama hauna downloading na uploading nzito, la sivo hakuna unlimited ambayo ina speed nzuri na inauzwa bei nafuu, hiyo 40kbps haina maana yoyote.
   
 4. M

  MkenyaMzalendo Senior Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lah. WaTz mko nyuma, tena sana.

  Eti 40000 kwa mwezi? makampuni ndiyo yafaa kulipa bei kama hio.. ooh, nilikuwa nimesahau ni Ts Shillings, LOL

  Unlimited offers hapa kwetu ziko kwa wingi. Kuna kampuni inaitwa Wananchi inayolipisha shilingi 4,999 za Kenyw kwa mwezi for unlimited internet ya speed ya 1mbps.

  Safaricom ina offer ya unlimited ya Wimax inayogharimu 5999 kwa speeds za 2mbps. Nimeona wako tayari kuzindua internet ya 4G miezi miwili ijayo ambayo itakuwa na speed za kushangaza (600mbps-1.5Gbps).
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Dah! wakenya mko mbele tena sana! By the way, ule mpango wako wa kuja kufanya kazi ya uwakili hapa bongo unaendaje?
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  So far natumia ya voda kwa mwezi ni 70,0000 ie 2GB speed yake ni nzuri na modem ni 90000.
  Ingawa am told Zantel kama uko town ni nzuri kwa speed na gharama
   
 7. M

  MkenyaMzalendo Senior Member

  #7
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  La hasha. Mimi sikusema nataka kuja huko Tz kufanya Kazi, ila tu nilitaka kuwajulisha kuna wakili shupavu anayehudumia wateja kwa mtandao hadi wanashangaa. Niko na 95 percent positive feedback kwa elance.com (watu chachache sana wanaweza kujigamba na takwimu kama hizo). Nilikuwa na mpango wa kutembelea Tz kama mtalii tu, lakini baada ya kuyasoma maoni ya WaTZ kwa JF (sana sana maoni ya kuoghofia dhidi ya Wakenya), nahofia usalama wangu mara tu nitakapogunduliwa mi mkenya kwa hivyo sina mipango ya kutembea huko kwenu.
   
 8. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Wabongo ni wakarim sana, kuna pahali yangu moja wako wakenya mbili, wife anao wafanyakazi 3 kenyans, they are good at work, hata wewe kama legitimate wala haisumbui, karibu sana!
   
 9. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wewe nduyangu mkenya mbona unakiherere kama kuku mtetea mbonanyiyi mnamabo yakijinga hivi inahusu nini kama sisi tuponyuma amatupo mbele nini cha ajabu ndomana mnalimana mapanga mtukauliza bongo we untletea sisisisi kenya mnanini nyie mnakula maliasiliyetu unarikia mabo hayakuhusu kwani huyu jamaa anataka kuweka Itanet kenya mpakautuambia mitandao yenu hujasomanini majitumengine kichefcheu kinoma sijui dege la jeshi au mtambo
   
 10. M

  MkenyaMzalendo Senior Member

  #10
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh, Ndugu yangu,

  Mimi si mtaalam wa lugha na wala msamiati wangu sio wa hali ya juu, lakini naona kana kwamba maandiko yako yameadhiriwa na lugha za mama kupindukia na majibu yako yawawezi kusemekana ni ya Kiswahili. Tafadhari tumia lugha sanifu inayoeleweka.
   
 11. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  :confused2:
   
 12. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Hivi internet ya 4G ipo Kenya tu?
   
 13. M

  MkenyaMzalendo Senior Member

  #13
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Afrika nzima hakuna mobile operator anaye-offer 4G currently, so we hope Safaricom will be the first
   
 14. terabojo

  terabojo JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa uzoefu wangu zantel ni best kama unakaa maeneo ambayo inapatikana - mimi ninakaa Kongowe. Kwa shs. 99000 unapata moderm yao then waweze kuchukua banle ya elfu kumi kila wiki ambayo inakupa 2GB. Kama matumizi yako ni makubwa kidogo hopefully 2GB itakufikisha mbali in 2 weeks. Ikishs unaweka tena elfu 10. Kama ukuweka jumla ya elfu kumi kila wiki utakuwa upepata/tumia 8GB kwa gharama ya elfuu 40 amabazo ni faida kubwa kuliko mb500 za ttcl kwa siku 30 kwa gharam hiyo ya 40K.
  TTCL wanajitahidi laikini bado hawafikii Zantel.
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hicho kiherehere utaja olewa wewe, sasa 40,000 ya Tz na 5000 Ksh nani analiwa?
   
 16. M

  MkenyaMzalendo Senior Member

  #16
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Just confirmed the guy actually said 60000, not 40000. Considering its a limited service (8GB), I would say Tanzanians are being ripped off. 5000 Kshs (about 100,000 Tzshs) is for Unlimited service for a whole month (I should add that the speeds are quite good). Considering I download like 30GB of data every week, if I was in tanzania, I would be paying millions (maybe even billions) of shillings if I took up the above offer
   
 17. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  not only billions but trilions
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  30 GB of illegal downloads, sio? yeah u r very advanced.
   
 19. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  watanzania achani jazba!! Mgeni huyu mkaribisheni aje atuachie pesa nchini kwetu!... mada ipo juu jamaa anataka msaada!.. mi namshauri zantel
   
 20. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  We njoo tu. Huku mambo ya kuangalia mtu rangi au anatoka kabila gani hayapo. Ila usije na hizo big head attitude zenu.
   
Loading...