Internet tsh 500 bundlle kwa blackberry kwanini ulipe 35000 au 17500 kwa mwezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Internet tsh 500 bundlle kwa blackberry kwanini ulipe 35000 au 17500 kwa mwezi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by wanatamani, Sep 8, 2012.

 1. w

  wanatamani JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  WANA JAMVINI NAPENDA KUWASHIRIKISHA KWA HILI.
  MITANDAO KARIBU YOTE YA SIMU TANZANIA IMEKUWAINAWALAZIMISHA WATUMIAJAI WA BLACKBERRY KUNUNUA VIFURUSHI VYA INTERNET KWA GHARAMA KUBWA .HAKUNA HAJA YA KUNUNUA WAKATI WENGINE WENYE SIMU ZA KAWAIDA WANATUMIA KWA 500.
  CHAKUFANYA KABLA YA LA KUNUNUA BUNDLE SETI KAMA IFUATAVYO KWENYE BLACK BERRY YAKO.
  KWANZA KABISA set up tcp settings. KWENYE BlackBerry menu go to => Options - Advanced Options - TCP na ingiza APN information for your GSM Service. kama haujui TCP APN settings nimeziorodhesha hapa chini
  ukimalizahapo unaweza kutumia internet kutokana na mtadao uliosetia kwa kutumia APN ZIFUATAZO

  TCP APN LIST
  TIGO -TANZANIA
  GATE WAY IP -10.168.20.80

  PORT- 8080
  APN -INTERNET/WAP
  VODACOM -TANZANIA
  GATEWAY IP -10.154.000.008
  PORT -9410
  APN - INTERNET/WAP
   
 2. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,105
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mkuu kwanza nianze kwa kukushukuru,sasa kuna kitu sielewi hapa mfano huko kote mimi nmefika mpaka hapa kwenye TCP ambapo chini yake kuna
  APN:
  Username for APN:
  Password for APN
  sasa swali je hayo maelezo mengine najaza nn mkuu? mimi natumia Vodacom
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 16,001
  Likes Received: 5,031
  Trophy Points: 280
  for what i know blackberry ndo simu ghali duniani na sababu kubwa ina additional features mfano bbm.

  Blackberry yenye ram ya 256mb na processor 624mhz unaipata kwa laki 4 wakati simu nyengine bei kama hio unapata simu ya ukweli.

  Mi naamini mpaka unajikamua unatoa hela nyingi kununua simu yenye uwezo mdogo ni kwamba unataka additional features za bb kama bbm na bes.

  Sasa usipounga internet yao hao bb hutaenjoy hizo features bali utapata feature za kawaida kama kutumia opera mini sasa kuna maana gan ya kua na bb kwan simu nyengine hazina?.

  Pia ukumbuke internet ya bb ni unlimited na internet ya 500 haizidi 50mb ina maana kama namaliza ya 500 kwa siku ntahitaji kununua tena na hilo litanicost zaidi. unlimited ya siku tigo ni 3000 na airtel hawana na voda hawana na zantel sku 3 elf 10.

  Pia ukinunua bb ya mwezi wiki au siku utalipiwa app za kuchat za kuchat. Mfano whatsapp so inaondoa usumbufu wa visa na paypal

  Na pia zipo internet za bb sh 500 kwa siku elf3 kwa wiki na 12,000 kwa mwezi zinazotolewa na zantel
   
 4. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,854
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Blackberry Internet Services(BIS) inafeatures nyingi na bora,kuliko unavyoshauri mwanzisha huu uzi
   
 5. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,014
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  @chief-mkwawa mwache jamaa amwage vitu, inaweza saidia angalau siku ukikwama unajivinjari na 500/=
  sasa @watamani mbona tunakwama katika Username for APN:
  na Password for APN:
  Hebu saidia Mkuu
   
 6. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,105
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mie hapo tuu namna ya kuingiza hizo password angeelekeza vzr tujaribu.
   
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  System ya Blackberry ni mambo yaliyopitwa na wakati enzi ambazo internet kwenye simu ilikuwa kitu cha ajabu au kigumu kupatikana, network ya Blackberry (RIM) ilikuwa inasaidia kuhakikisha push mail na hizo BBM zinafika kwa uhakika.

  Siku hizi smartphone yoyote inaweza kufanya push mail na tuna program kama WhatsApp ambazo zinafanya kazi katika platform karibia zote, sasa kwanini nilazimike kuongea na watu wenye BBM tu? ambayo inafanya kazi kwenye BB peke yake?
   
 8. w

  wanatamani JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ni kweli bundle ya 500 ni mb 50. Lakini ukweli nikwamba kwa mtandao wa airtel hilo halipo. Unaweza kudownload hata 2g kwa hiyo hiyo 500.
  Ninauhakika na hili kwani ni 100% tested. Wala ukifikia hizo mb 50 internet itaendelea kuwepo mpaka yapitre masaa 24. Si kwenye simu tu hata modem.
  Zantel pia kwa tsh 5000. Unaweza kutumia unlimited kwa siku tatu. Mfano mimi natoa huduma ya internet cafe computer 8. Na zote ziko speed kwa zantel kwa wasiofahamu.
  Na wala hauna haja ya kununua modem ya zantel hata uliyonayo amabayo ina support laini yeyote weka zantel chip kwenye simu ya mkononi. Fanya yafuatayo
  piga *147*09# fuata maelezo nunu unlimited siku tatu bila kikomo.
  Nakuhusu kushindwa kuweka apn kwenye black berry naomba uni pm weka namba yako ya simu nikuelekeze free of charge
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 28,721
  Likes Received: 28,687
  Trophy Points: 280
  bado hujaijua uwezo wa blackberry vizuri wewe.
   
 10. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  tatizo kuna huduma utakua unakosa ili ndo tatizo lililonikimbiza kutumia blackberry nkilinganisha maisha haya ya mtaa na gharama zake du nachoka
   
 11. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #11
  Sep 9, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 16,001
  Likes Received: 5,031
  Trophy Points: 280
  Hebu usitudanganye una internet cafe then ushindwe kujua mabadiliko ya bei?

  Ilikua elf 5 kama miez mi 3 ilopita then ikapanda ikaja elf 6 na sasa ni shilingi elf 10 unlimited kwa siku 3.

  Kuhusu zain huwez download 2gb kwa sababu after mb 50 speed inadrop hadi chini ya 10KB ambayo inatake more than a month kucomplete hio 2gb
   
 12. g

  gwambali JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu na kushauri usipoteze mda wako kubishana na huyu mtu inaonekana ni mbishi na ni mtu anayependa kuonekana anajua sana...

  Kwanza Zantel hawana huduma ya namba kama hii *147*09# bali wanatumia namba hii *149*07#. Mpaka hapo utaelewa jamaa anaongelea kitu asichokijua...
   
 13. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,448
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Hayo masimu mengine majanga tu.... Mambo hayo ndo yananifanya ningangane na samsung
   
 14. g

  gwambali JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu inaelekea ujui the way mfumo wa blackberry unavyofanya kazi...


  Hii njia uliyoweka hapo juu haiwezi kufanya kazi kwa BB na ndio maana wengi wamekuuliza wa weke nini kwenye Username na Password umeshindwa kuwajibu.....  Blackberry haitaji internet configuration kwani yenyewe imekamilika idara zote hizo...


  Kwa wanaohitaji kutumia huduma ya TCP or Wap kwenye Blackberry wanachotakiwa kufanya ni kuweka APN Key Word tu ambapo kwa tanzania mitandao karibu yote APN yao ni Neno

  "internet"
  Na sehemu ya password na username ujazi chochote

  Na APN inahitajika kwa baadhi ya apps tu ila browser kama Operamini haitaji APN

  Na njia hii inakulimit kwenye matumizi ya mtandao kwenye simu yako ya Blackberry...

  Kwa wale mnaotaka huduma za Blackberry Internet Service ya bei nafuu inapatikana zantel tu,kwa tsh 12,000 kwa mwezi na kwa wiki tsh 3000 na kwa siku tsh 500 tu

  Kuipata fanya hivi *149*07# chagua namba 3 then changua namba moja na changua kama unataka kifurushi cha mwezi/wiki au siku napata huduma zote za blackberry Unlimited
   
 15. g

  gwambali JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwa kuwa hujui utamu wa Blackberry ndio maana... Ila siyo vibaya kung'ang'ania unachokipenda
   
 16. m

  mwitu JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 858
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  blackberry cm gan masharti kibao utafikiri mganga
   
 17. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #17
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 295
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hakuna bb bila babu, maisha yana wenyewe kama wale,haya kupatikana kirahisi kwa wataalamu wa mitandao ni haiwezekani,labda we na kanokia,kasamusangi kako ukiwa hewani wanakutambua upo wap! kwa hyo kukamatwa nje nje! lakini bb hawawezi kutambua kabisa.
   
Loading...