Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,806
- 11,968
Uperuzi wa Taifa la Tanzania mtandaoni umeongezeka mara 65 nchini Urusi baada ya Naibu Waziri Mkuu, Tatyana Golikova kutangaza kuwa nchi hiyo itarejesha safari za ndege za Tanzania kuanzia Agosti 1, 2020
Kwa mujibu wa Yandex, Ijumaa ya Julai 24, maombi ya kulitafuta Taifa la Tanzania mtandaoni yaliongezeka mara 65 ikilinganishwa na siku ya nyuma yake, Alhamisi Julai 23
Inaelezwa kuwa Watumiaji wa Yandex waliperuzi zaidi kuhusu eneo la Kijiografia la Tanzania, jinsi nchi inavyoonekana, safari za ndege, maoni mbalimbali kutoka kwa watalii pamoja na hali ya hewa
Siku ya Ijumaa, Serikali ya Urusi ilitangaza kuanza tena kwa safari za ndege na Uturuki, Uingereza na Tanzania kuanzia Agosti 1 ambapo kuingizwa kwa Tanzania ni kwa sababu ya umaarufu wa nchi hiyo kwa Watalii
A man sits at the shores of the Indian Ocean at Nungwi beach in Zanzibar, Tanzania. © Reuters / Thomas Mukoya
By Jonny Tickle
Russian interest in the African nation of Tanzania has soared after Deputy Prime Minister Tatyana Golikova named it as one of three countries to resume flights with Russia from August 1.
According to Yandex, the most popular Russian search engine, the number of people searching for the tropical East African country shot through the roof.
“On Friday, July 24, interest in Tanzania on Yandex Search soared,” Yandex said. “The number of requests about the country increased 65 times, compared to Thursday.”
Yandex users were most interested in Tanzania’s location, how the country looks, flight times, reviews from tourists, and the weather, according to the company.
On Friday, the Russian Government announced the resumption of flights with Turkey, Great Britain, and Tanzania, beginning on August 1. Following the news, Yandex’s travel service saw a spike in interest for all three locations.
Russian Foreign Ministry spokeswoman Maria Zakharova explained that the inclusion of Tanzania is due to the popularity of the African country among Russian tourists.
CHANZO: Internet searches for Tanzania increase by 65 TIMES after Russian govt announces flights will soon begin
Previously: Russia reopens flights to Tanzania