Internet satellite dish msaada

ALL IN ONE

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
263
176
Habari za majukumu!!!

Msaada juu ya upatikanaji wa satellite internet dish kwa matumizi ya internet kwa Tanzania hii ni sehemu gan naweza nunua. Na gharama yakr je? Msaada kama kuna mtu anayejua anipe mwongozo kuanzia gharama
 
Gharama kubwa na speed ya kobe, na hata speed ikiwa kubwa basi ping ni majanga. Tumia satelite internet mahala ambapo internet ya simu haipatikani kabisa.

Unanunua dish tokana na provider wako. Kuna madish mengi kama

-Ka band
hughesnet_74cm_ka_band_prodelin_an8-074p_antenna.jpg

-ku band ambalo muonekano wake ni kama wa dish la azam
-C band ambalo ni kama yale madish ya zamani makubwa.

Angalia bei za providers mbalimbali
VSAT Solutions in Africa

YahClick - Ka Band Satellite Broadband Internet from YahSat

Kuna jamaa wanajiita quika walipromise internet ya bure ya satelite ila naona kama ni danganya toto, nimejaribu mara kibao kuwasiliana nao bila mafanikio, nilitaka kuitest nione.

Jaribu bahati yako hapa

Quika | Introducing the world's first free high-speed satellite internet | Africa

Kifupi satelite internet ni kama dishi la kawaida la kuangalizia tv na inakuwa na receiver yake ya internet.
 
Nashukuru kwa maelezo ..
Vipi kwani hakuna njia nyingine ya kitumia zaidi ya internet dish kwa sehemu ambayo internet shida

#Chief-Mkwawa
 
Screenshot (130).png


Wacheki Blink , speed ya kuridhisha sana. angalia attached pic kuona plan zao baada ya installation, ila installation itakucost around $500 au zaidi.

PS: Ninawatumia personally na sehemu ni very remote ambapo hakuna internet coverage ya telecom companies au ni 2g tu ndo inashika(zaidi ya moja). so nina experience ya ninacho suggest, ingawa ni expensive.
 
Nashukuru kwa maelezo ..
Vipi kwani hakuna njia nyingine ya kitumia zaidi ya internet dish kwa sehemu ambayo internet shida

#Chief-Mkwawa
Umeangalia netowrk kama halotel haipatikani hilo eneo?

Huna alternative ya satelite kama upo kijijini sana
 
Umeangalia netowrk kama halotel haipatikani hilo eneo?

Huna alternative ya satelite kama upo kijijini sana
.
Nafikilia kwenda japo kwa Mara ya kwanza nilienda na Vodacom sijapatikana na tigo natak kwa Mara hii nikajaribu halotel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom