Internet: Ongeza Maarifa kidogo au sema chochote

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,763
5,591
1: China Kuna vituo maalumu kwa ajili ya kutibu mateja wa Internet/Internet addicts.

2: Asilimia 37 ya vilivyo kwenye Mitandao ni NGONO.

3:Tovuti 30,000 huwa zinaingiliwa/hacked kwa siku.

4:Asilimia 15 ya wamarekani watu wazima hawatumii mitandao ya internet.

5: Watafiti bado wanabishana kuona kama Uteja wa Internet/Internet addicts wauingize kwenye list ya magonjwa ya akili.

6: Watu wazima zaidi ya 9 Millioni Uingereza hawajawahi kutumia Internet.

7:Kwa dakika moja emails 204 Millioni Hutumwa dunia nzima.

8: 1/3 ya waitaliano hawatumii mtandao wa Internet.

9: Asilimia 6 ya watu wote duniani ni mateja wa mitandao/internet addicts.

10: Kitu cha kwanza kabisa Kununuliwa na kuuzwa kupitia INTERNET ilikuwa ni Begi la BANGI mwaka 1971.
 
Hiyo namba mbili ni uongo labda 50/50
siku hizi wanaleta hadi article za uongo ukifungua unakuta
 
Back
Top Bottom