kanyagio
JF-Expert Member
- Dec 10, 2009
- 1,021
- 365
wanandugu nataka kununua modem kwa ajili ya kazi zangu za ofisi na zile binafsi. sasa naomba kufahamu kampuni gani ina best rate at reasonable cost kati ya Voda, Airtel, Zantel au tigo. naomba wenye taarifa yakinifu wanisaidie kwa kuzingatia haya:
- Package ni GB ngapi (mahitaji yangu ni kama 2GB per month)
- bandwith
- monthly charge
- coverage in terms of regions (remote areas)
- bei ya kununulia hiyo modem