Internet is cheaper in Kenya than Tanzania averagely

Katika hili Wakenya mtuache tu.

BTW, hizi upload speed na download speed zinadanganya , its just theoretical speed based on a few Kilobytes ICDM pings to a certain server...
Real speed depend on many other factors, Watu walete screeshots za actual download speeds waki download files ndo tutajua kweli kama ni fast
 
Kwanini usianze wewe tukuone?
 
Kwanini usianze wewe tukuone?
Safaricom wamesema wamenipatia 20Mbps nitumie kwa wiki mbili kama offer, lakini ikija kwa actual download ina range between 9 - 11 Mbps niki download files kupitia download manager.

Speed.png
 
Umeiona hio tofauti ya theoretical na reality? mimi kule kwa speed test nikipima inafika 26Mbps, lakini kwa actual download ni only 11Mbps . Wewe kwa fast.com inafika 120Mbps lakini actual download inachezea 16Mbps ingaawaje yako bado iko fatster..

Anyway, wacha niendelee ku download, Huu mtandao lazima ni uangushe mimi ! watajuta kwanini wamenipatia unlimited internet!
 
Attachments

  • 1568042597253.png
    1568042597253.png
    91.8 KB · Views: 15
Umeiona hio tofauti ya theoretical na reality? mimi kule kwa speed test nikipima inafika 26Mbps, lakini kwa actual download ni only 11Mbps . Wewe kwa fast.com inafika 120Mbps lakini actual download inachezea 16Mbps ingaawaje yako bado iko fatster..

Anyway, wacha niendelee ku download, Huu mtandao lazima ni uangushe mimi ! watajuta kwanini wamenipatia unlimited internet!
@ Kafrican ..... umechelewa sana leo ndio unapata home fibre? Welcome to our world :)
 
@ Kafrican ..... umechelewa sana leo ndio unapata home fibre? Welcome to our world :)
Ihihihi , nilikua nikitumia "Internet TV Box" decoder/router ya safaricom, alafu nika hama nikaenda kwa Telkom kwasababu niliona wako cheaper, sasa nimeona HomeFiber iko sawa zaidi kwasababu ya hio unlimited bundles, mimi mara nyengine hua naweza ku download kama 100GB na weekend moja , hizi bundle za kununua eti sijui 20GB, 40GB zilikua zina nimalizia hela tu! nilikua nataka hio freedom ya ku download hadi nife! sasa nimeipata!
 
Hehe, Landlord amesema ataweka insfrustructure(pipes) na kila mtu kwa apartment atakua akitaka anapitisha hapo manake request ni nyingi... In the mean time aliruhusu wanieke kwasababu naishi 1st floor...
Installation cost zinagaramiwa na Safaricom. Lakini nathani hio router watakayo niwekea kwa nyumba itakua ni mali yao, niki hama au nikiacha kutumia naniseme sitaki tena nafikiri wataniambia niiregeshe .
Wireless router ya safaricom ukinunua it's yours completely. Just buy mifi router ya Telkom,faiba or safcom na cables required and it's cheaper for instance hapa kuna ya safaricom. No cable required.
safcom_decorder.jpeg
 
Wireless router ya safaricom ukinunua it's yours completely. Just buy mifi router ya Telkom,faiba or safcom na cables required and it's cheaper for instance hapa kuna ya safaricom. No cable required.View attachment 1202959
Ehh hata mimi wameniekea router (The fiber cable is connecetd to the router, then from there I connect my LAN cable). Nili assume hio Router ni property yao manake sikulipia extra fee yoyote mbali na hio hela ya kununua bundles...
 
Maybe hio venye haukubuy ni Yao ,Mimi yangu nilinunua.
 
Since when fibre connection means unlimited?
And Unlimited means cheap?

If you subscribe unlimited service for $400 and another person subscribed the same service for $300 but different ISPs, will you say both of them have bought the same service for cheap price because it's unlimited for both?
Depending on the speed and use, yes.
And who in their right mind uses $300 for home fiber??
$53 will get you 30Mbps from Zuku and I am able to stream Netflix in 4k, download 10TB a day if I want, use devices like Google Home and even check the security camera footage from my phone.
Which ISP in TZ can even support that??
In Kenya I can can count 20
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom