Internet is cheaper in Kenya than Tanzania averagely

Ndhani huji hata unachokionge kijana. Tafuta point nyingine umeishiwa point

Tanzania kuna ISP wengi tu sisi hatuna monopolization business kama ninyi.
Access Kenya Group
Acevilla Development Co Ltd
Africa 2000 Network
African Laughter Ltd
African Regional Centre for Computing
Al-Wahda Telecommunication Bureau
Alphanet Communications Ltd
Altech Swift Global
Altech Swift Global (K) Ltd
Arkard It Solution
Asego Enterprises Co Ltd
Aster Global services Kenya Ltd (AGSKL)
Bandwidth and Cloud Services
Bhaniks Ltd
Bidii Dot Com Ltd
Browse Internet Access
BSS Africa Ltd
C Hear (K) Ltd
Callkey Networks
Chase Communications and Internet Services
Clubinternet (K)
Commweb Services
Crane Industries Ltd
Crestar Networks
Crystal Communication
Cyber Solutions
Cyber Yetu
Cybernatics Communications Ltd
Dellsat Network Co. Ltd
Dotsavvy Ltd
E-Tach Communications
Easy Surf Ltd
Easy Touch the Internet Place
EasyFax
Education and Training Services Ltd
Embarq Ltd
Enterprise Data Freedom Limited
Equality Dynamic Solutions Ltd
Equitorial Services
Ethernet Ltd
Faxsav Ltd
Ferinet Cyber
Fibre Link Ltd
Fireside Communications Ltd
Geda Ltd
Geotel Internet Services
Google Kenya Ltd
Host Yetu.Com
Insight Technologies Ltd
Internet Solutions
Iway Africa
Jamii Telecommunications Ltd
Jejobyte Communications
Joel Siriba Ogetonto
Kasnet Internet Services Ltd
Kelele.Com
Kenya Web Ltd
Khekonya Telecoms Solutions Ltd
Lazards Ltd
Liam Telecommunications Ltd

Monopoly indeed 😃
 
So hizi company ni Telcom? Wanatoa service ya Fiber connection?
Hebu acha kujichatua na kujifanya kama hatujui Kenya.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
So hizi company ni Telcom? Wanatoa service ya Fiber connection?
Hebu acha kujichatua na kujifanya kama hatujui Kenya.

Internet service PROVIDERS (ISP) list.

Najua ulifikiri mchezo tu ni wa Safaricom, Zuku, Airtel, Telkom and Faiba. Which also means you were wrong with the monopoly thing.
 
Acha ujinga wewe. Yaani unaodhani dunia imejifungia kama hapo kibera!!!?
Unaweka vikampuni vya ajabu ajabu. Yaani hata vikampuni vay mfukoni vya kutengeneza static website unaviita ISP.
Are you stupid or something!!?
 
Taja "kijikampuni kimoja cha mfukoni" kati ya nilivyoorodhesa that you feel like it doesn't provide home fibre service.
 
Wejamaa hata wenzako wamekususia wamekuona mwezi mchanga. Hivi unadhani unaongea na washamba wenzako wa kibera?
Vijikampuni hivyo havina hata website, unatulitea briefcase companies. Acha wizi wewe.
Wakenya mtaacha lini wizi?
 
So hizi company ni Telcom? Wanatoa service ya Fiber connection?
Hebu acha kujichatua na kujifanya kama hatujui Kenya.
Mfano mmoja tu hapa. That's Access Kenya. Offered under the ‘Surf’ brand name, this last mile Internet service has already signed up more than 500 households in areas such as Buru Buru, Jericho, Kariokor, Pangani, Umoja, Hamza, Jogoo Road, Ngara, Nairobi West, and South C.

Surf’s cheapest home Internet bouquet costs Sh999 per month offering speeds of five megabits per second (Mbps), Sh1,999 monthly for 10 Mbps and Sh3,999 for faster downloads of up to 20 Mbps.
 
Wejamaa hata wenzako wamekususia wamekuona mwezi mchanga. Hivi unadhani unaongea na washamba wenzako wa kibera?
Vijikampuni hivyo havina hata website, unatulitea briefcase companies. Acha wizi wewe.
Wakenya mtaacha lini wizi?
Your stupidity has been exposed. Unajicontradict.
 
Mfano mmoja tu hapa. That's Access Kenya. Offered under the ‘Surf’ brand name, this last mile Internet service has already signed up more than 500 households in areas such as Buru Buru, Jericho, Kariokor, Pangani, Umoja, Hamza, Jogoo Road, Ngara, Nairobi West, and South C.

Surf’s cheapest home Internet bouquet costs Sh999 per month offering speeds of five megabits per second (Mbps), Sh1,999 monthly for 10 Mbps and Sh3,999 for faster downloads of up to 20 Mbps.
kwahiyo Nairobi ipo na mitaa 9 pekeee? Are you serious.
Sijaona, Kibera, Karen, Loresho, Getathuru, Kilimani, Mlolongo nk.
Acha kujitia ujinga wewe.
 
Do you know how to read my dear friend? Cause naona ukichanganyikiwa hapa
kwahiyo Nairobi ipo na mitaa 9 pekeee? Are you serious.
Sijaona, Kibera, Karen, Loresho, Getathuru, Kilimani, Mlolongo nk.
Acha kujitia ujinga wewe.
 
I am not a Statistic officer, I just show you highlight ujue kuwa TZ. Hizi ni kutoka TTCL
View attachment 1199731
View attachment 1199732
Naona hapo mnapewa bundle za juu lakini lakini ziko capped at maximum bandwidth unaweza kutumia kwa mwezi, hata iwe speed gani, ukimaliza hio 50GB na siku moja huwezi tumia internet hadi unune tena... Tofauti na hio safaricom home fiber ukipewa bandwidth ya 20Mbps unapewa unlimited bundle Yani Una download vitu vya 1TB baada ya wiki moja na bado unaruhusiwa kuendelea kutumia....
Mi nishajiandikisha nataka Fiber Kwa nyumba, Friday walikua kwa nyumba kupima na wamesema Monday saa nne niwe Kwa nyumba niwekewe kitu! nitakuonyesha speed yangu hapo Kesho Mungu akipenda, lakini mbali na hilo nitakua na download unlimited! Yani hata nitakua si zimi computer, nitakua naiwacha iki download siku nzima, naona baada ya wiki moja ntakua sina cha kudownload tena , nitabaki ni ki stream Netflix na YouTube nikingojea new content.
 
Angalau wewe anaongea vitu vya maana.
Hiyo ya TTCL ni kutokana na kwamba. Hao TTCL ndio provider wa distributors so wanafanya hivyo ili kuwapa freedom distributors.
Ndio maana nimekupatia makampuni kadhaa na bei tofauti tofauti.
So kenya na Tanzania kwa upande wa fiber hakuna wa kumcheka au kumsifia mwenzake almost vitu vyote vinafanana
 
Hata Tanzania ukitaka kufanyiwa hivo unapata huduma kama hio yako. Huku kuna packages kibao according to matumizi yako.
Naona hapo mnapewa bundle za juu lakini lakini ziko capped at maximum bandwidth unaweza kutumia kwa mwezi, hata iwe speed gani, ukimaliza hio 50GB na siku moja huwezi tumia internet hadi unune tena... Tofauti na hio safaricom home fiber ukipewa bandwidth ya 20Mbps unapewa unlimited bundle Yani Una download vitu vya 1TB baada ya wiki moja na bado unaruhusiwa kuendelea kutumia....
Mi nishajiandikisha nataka Fiber Kwa nyumba, Friday walikua kwa nyumba kupima na wamesema Monday saa nne niwe Kwa nyumba niwekewe kitu! nitakuonyesha speed yangu hapo Kesho Mungu akipenda, lakini mbali na hilo nitakua na download unlimited! Yani hata nitakua si zimi computer, nitakua naiwacha iki download siku nzima, naona baada ya wiki moja ntakua sina cha kudownload tena , nitabaki ni ki stream Netflix na YouTube nikingojea new content.
 
Kenya has far much faster internet too..
lets do a speed test here. go to browser and type
fast.com/#
screen shot your connection speed.
mine is here
Screenshot_20190714-123831.png
.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom