Internet ilikuwepo kabla ya Kristo?

Umeme ulikuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu eg radi, viumbe hai vyote vina mfumo wa umeme
Technically uko sawa... ila practically bado.... chomeka pasi mdomoni mwa mbuzi unyooshe nguo mjomba 😁 😁 😁 😁
 
Dunia iliwahi kuwa na maendeleo makubwa sana kuliko haya tuliyo nayo. Na kila baada ya umri flani kuna tukio hutokea na viumbe wote wakateketea na wapya hujitokeza
 
We endelea kusogea mpaka ataendelea kuongea tu,huyo mzee wa kuzungu fix sana
 
Wanakwambia sayansi iliyokuwepo kipindi Cha nyuma kuanzia ujenzi, biologia, etc haijafikiwa kabisa na kizazi hiki...vizazi Kama kabla ya gharika ya Nuhu na miji ya mesapotamia etc walikuwa na teknolojia kubwa Sana..pia mabaki ya vitu vya kale yanasema kuwa teknolojia ilifika mbali sana..endapo wakifufuka wakute mnajenga tugorofa twenu hutu Leo wataona Kama mnachezea matope.
 
Iphone ilikuwepo kabla ya Musa pia
Suleiman alitumia Airbus kwenda kwa Malkia wa sheba Ethiopia

Kama unaamini Internet ilikuwepo kabla ya kristo, jipige kifua kwa ujasiri

Kisha tamka haya maneno, "Mimi ni ze-ze-ta"
 
Kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo, watu walitumia "tablets' mapema kabisa.

Watu wa zama hizi wakisoma maandiko Takatifu wanadhani hizo tablets ni kama vile vibao wanavyotumia watoto wa shule za chekechea, la hasha someni kwa makini mpate kuona teknolojia iliyotumika ya kisasa kabisa lakini mnashindwa tu kuibaini.
 
Technology ilianza kuvumbiliwa baada tu ya Mungu kuiruhusu kupitia tangazo la nabii Daniel. Mwisho wa miaka ile ni kweli mambo mengi yakaanza kuvumbiliwa miaka ya mwanzoni mwa karne ya 18
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom