Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,543
- 4,761
Lahaula
Huu ni ukweli mtupuJiulize ikiwa cloud (ma/wingu) ndiyo internet wameweza kuweka ushahidi (data) mawinguni (clouds). Je miaka hiyo 2000 iliyopita ikazungumzwa " Wingu kubwa namna hii la ushahidi" katika Biblia ni nini kama siyo internet
12:1 1Kor 9:24; Ebr 10:36 Kwa sababu hii, kwa kuwa tumezungukwa na wingu kubwa namna hii la mashahidi
Simply put, the cloud is the Internet—more specifically, it's all of the things you can access remotely over the Internet. When something is in the cloud, it means it's stored on Internet servers instead of your computer's hard drive. Watch the video below to learn more about the cloud.
Sahihi kabisa. Internet ilikwepo, ila kwa namna nyingine.Hakuna jipya chini ya jua, internet sio kitu kipya ni kweli kabisa
Hakuna jipya dunianiSahihi kabisa. Internet ilikwepo, ila kwa namna nyingine.
YESU NI MWEZA WA YOTE
hata sikumbuki nilikuwa nimelewa balaa, hebu fafanua umeme unaongelea wewe ni ngoma (vvu) au ule umeme wa mtera? Jamaa mbishi sana mpaka una bold maandishi..una kipajiUwe unajiongeza , usiwe kama chizi , Umeme naozungumzia ni unaotumika katika matumizi ya kawaida kama wa majumbani , hapa siongelei umeme wa mwili na umeme uliopo kwenye nywele
... na Mfumo wa umeme mwilini ukigoma you are in trouble my friend.Umeme ulikuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu eg radi, viumbe hai vyote vina mfumo wa umeme
Ha ha wewe jama ni hatari etii umeme NGoma a.k.a VVUhata sikumbuki nilikuwa nimelewa balaa, hebu fafanua umeme unaongelea wewe ni ngoma (vvu) au ule umeme wa mtera? Jamaa mbishi sana mpaka una bold maandishi..una kipaji
Hapa nimekuwa mgonga like tu maana dunia ina wamiliki wake na wanapanga kila.kitu kifanyike mda gan na nan akifanye
Yeah upo vizuri nilitegemea hayo kutoka kwakoKuna vitu vingi vimefichwa ili watu wasivifahamu ili kurinda maslai ya baadhi ya watu/kikundi flan.
“The one who seeks should not cease seeking until he finds, And when he finds, he will be dismayed, And when he is dismayed, he will be astonished, And he will be king over the All.”
Umenitag ila hujasema kitu mkuu
Tupe madini mzee hapo sidhani kama hauna cha kuchangia katika huu uziiUmenitag ila hujasema kitu mkuu
Nilihisi ujauona huu uzi nikaona nikutag nikaamin kuna kitu unaweza kuwa nacho cha ziadaUmenitag ila hujasema kitu mkuu
Yesu kazaliwa tarehe ngapi?Internet ipi inasemea wewe?
Internet : is global computer network providing a variety of information and communication facilities, consisting of interconnected networks using standardized communication protocols.
First computer invented by Charles Babbage between 1833 and 1871
Kuzaliwa Kwa Yesu ni 1/1/1
Je internet ilikuwa ya kwanza kugundulika kabla ya kompyuta?