Internet huaribu afya ya mtu,na huaribu cell za ubongo je tutajlinda vpi kutokana na hatari hii?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
INTERNET HUARIBU AFYA YA MTU,NA HUARIBU CELL ZA UBONGO
JE TUTAJLINDA VPI KUTOKANA NA HATARI HIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

KINYUME NA MADAWA YA KULEFYA NA POMBE,HAKIKA INTERNET

INAKUSAIDIA KUONGEZA MAARIFA NA KUFANYA RISECHI NA

INAKUSADIA KUPATA TAARIFA MPYA KILA MARA NA KUPATA HABARI

KWA WEPESI.HAKIKA WATAALMU KUTOKA CHINA WAMEFANYA UCHUNGUZI

NA KUGUNDUA KUWA INTERNET INAHARIBU AFYA YA MTU NA HUARIBU
NA KUTEKETEZA CELL KATIKA UBONGO WA MTU

UTAWEZA VIPI KUJIKINGA NA HATARI HII.INGIA HAPA


xcessive use of the Internet could cause the destruction of the structure of the brain Started by: soha samy wrote in: June 24, 2012 In: General | Comments: 1 2 inShare Unlike drugs and alcohol, the Internet can help you in your business helps you to develop your knowledge

helps you learn all new, but a new study by researchers in China showed that the frequent use of the Internet caused the destruction of brain cells Researchers have been working on the study of 17 who are addicted to the use of the Internet and found that they suffer from a

disorder of the jobs in the parts of the brain, such as what caused the addiction to gambling and alcohol Consists of neurons of white material (white matter) while the gray matter (grey matter) are the rest of the body cells brain is myelin type of fat that interference in the formation

of white matter in areas severely concentration of nerve cells of this type is to isolate the white matter in the brain and the the rapid conduction between neurons with each individually I've researchers used magnetic resonance imaging to measure the system functions in the

brain by identifying the presence of white matter found that adolescents who suffer from Internet addiction suffer from a decline in jobs for teenagers ordinary I study found that white matter when addicted online teens characterized righteously unusual in some areas in the brain

that generates emotion and address data and areas responsible for attention and decision-making as they do not prepare troubled psychologically formally, because the American Association for the Diagnosis and Statistical Manual of Mental Disorders did not prepare them

from within the troubled psychologically yet but is expected to be include them in the troubled mentally in 2013 becomes online addictive when interfere in the activities of daily life and the person feels that he does not enjoy life without him while laughing some people on their addiction to use their smart phones or their computers, but there is a difference


18117.jpg


1314715980.jpg


960754817738.jpg


64812_491302867597431_1128050289_n.jpg





 
duh... hivi inawezekana kweli na hii addictive ya JF, mbona balaa...
 
brain by identifying the presence of white matter found that adolescents who suffer from Internet addiction suffer from a decline in jobs for teenagers ordinary I study found that white matter when addicted online teens characterized righteously unusual in some areas in the brain

that generates emotion and address data and areas responsible for attention and decision-making as they do not prepare troubled psychologically formally, because the American Association for the Diagnosis and Statistical Manual of Mental Disorders did not prepare them

umechanganya mchuzi na ugali kabla hata mlo haujafika mezani. Tofautisha "addiction" na matumizi ya internet. The heading of your thread is really misleading. Addiction of any sort is symptomatic that the individual is in a serious psychological downturn and the internet usage is not the real cause. Your heading could have been relevant if you were talking of emissions from the internet which apply to all internet users even there a distinction between a variety of available and accessible technologies ought to be factored in.............
 
hapo lazima tufe kabla ya muda wetu maana siku hizi nika laana ya mtandao haiwezi pita siku hujaingia kwenye mtanda
 
Duh, Mh. waziri....sasa utanifanya niachane na JF kwani ni internet inayotufanya tukutane hapa na kujifunza mengi sasa tukisusia internet kunusuru afya zetu tunajifunzaje?
 
mhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama ndiyo hivi basi ngoja tujiandae kabisa kwa kuchukua plot zetu pale kinondoni.
 
Chadema watakuwa wanahusika katika hili. Tuunde tume kuchunguza ukubwa wa tatizo.
 
MziziMkavu maelezo yanaonesha madhara ni kwa watu wote watumia internet. Au ndo inabidi sie wabongo tuanze kujifariji..!?
Inategemea utumiaji wake jinsi unavyotumia mkuu Brightman Jr kwa sisi Waafrika sizani kama yatatupata hayo madhara kwani hatutumii sana kuliko wazungu usiwe na wasiwasi kila siku Wana Sayansi wanagunduwa kitu kipya dunia yetu hii ya Sayansi na Teknolojia.
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom