Internet huaribu afya ya mtu,na huaribu cell za ubongo je tutajlinda vpi kutokana na hatari hii?

Swala la any change katika brain kwa nini tuseme linaharibu??
Haliharibu bali linasababisha change flani ya kitu katika ubongo, same to addicts wa vitu flani, part flani ya ubongo wao inabadilika, sawa na mtu anayesoma sana part flani inabadilika, sasa sio kwa kua internet nayo ina response ile ile tunakaa na kusema ati inaharibu, neno kuharibu halifai kutumika hapa kabisa, inabadilisha tu na hii sio kwamba ina madhara katika swala nzima la afya ya ubongo hapana, ni sawa na learning activities nyingine za kila siku, nothing special
 
Documentbyenyewe haina hata panctuations. umeitoa wapi hii?
China lazma bijana wawe na addiction. Usually wanakaa kwenye family business watching movies online and facebooking all day. Any addiction is bad. Na tunaweza conclude pia internet addicyion can accelerate lifestyle diseases!
 
Kumbe ndo maana nakuwa skeleton manake toka 2007 nimetumia internet sana kipindi hicho ulikuwa ukiweka salio la sh. mia tano unazitumia haraka ili ziishe huku ukila timing na zikibaki kama sh.20 kama si sh.0.20, basi hapo unaanza kuCommand internet na kuanza kusafu buree. Kwa hiyo naamini kwamba twaweza kupata madhara kutokana na utumiaji wa internet kwa sababu hata simu inapokuwa inaconnect kwenye internet na ukaisogeza karibu na receiver utaona picha ya kwenye Tv inaanza kukatakata. EE jamani!
 
Je mm ninae washa laptop room nakuacha na download movie usiku kucha mpaka asubuhi...si ninaweza nikawa napata madhara pia?
 
Back
Top Bottom