Internet Freedom: Tanzania to license blogs, websites as part of new Online Media regulation

the Electronic and Postal Communications (Online Content) Regulations 2018 hiyo hapo kwenye pdf na bei za kusajili ziko mwishoni kabisa pamoja na form ya usajili, kazi kwenu wenye blogs, radio, tv za youtube na websites
Registration tu 100,000
Initial fee = 1,000,000
Annual fee 1,000,000
Ukikiuka sheria faini = 5,000,000
 

Attachments

  • SUPP_GN_NO_133_16_03_2018_EPOCA_ONLINE_CONTENT_REGULATIONS_2018.pdf
    256.3 KB · Views: 155
Back
Top Bottom