Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 16,927
- 13,010
We are critical but stable kama hali ya T.Lissu.
sijaongelea issue ya traffic ya jf kuwa the same au kutokua the same,nachoona hapa wewe huelewi matumizi ya vpn,unaongelea masuala ya verification eti masharti ya kua verified user niwaulize mods! wapi na wapi?
nachokuelekeza ni kwamba regardless hizo regulations zilizowekwa tunaweza kutumia jf the way tunavyotumia sasa labda jf wenyewe washindwe.
naamini hili suala ni dogo sana kwa jf unless waamue tu kushindwa au wawe wameamua ku-'bow down'.Jamiiforum hamisheni ofisi fasta tuendeleze mapambano nje ya nchi.babu kipara anataka kutuwekea vizingiti
Hakika inapendeza. Hizi kanuni ni muhimu sana kwetu wadau wa social networks.Thanks bro ndo uzuri wa jamii forum
Alhamisi ilikuwa siku ya uhuru wa kupata habari, na kwa mujibu wa taarifa zilizopo, TCRA, wizara ya habari walikutana na wadau, mgeni rasmi akiwa Katibu Mkuu wa Wizara, Elisante Ole Gabriel na kwa mujibu ya taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya habari, Kanuni hizi zilipelekwa kwa wadau wiki mbili kabla ya kukutana na baada ya kukutana wadau walipewa wik moja zaidi kuwasilisha maoni yao kwa Maandishi.Ngoja tuipitie tuone uzuri na mapungufu yake!!! Je wadau walishirikishwa??
Yap, kipindi akiwa WaziriInaonyesha zilitayarishwa na Nape Nnauye
Kwanini mkuu?Ushamba ni mzigo
Mkuu hujakutana na mtu mshamba weweKwanini mkuu?