internet buree siku 15. unlimited. new tunneling software

Paje

JF-Expert Member
Apr 24, 2010
1,185
455
wadau kuna ka software kana uwezo wa kui tunnel internet connection yako unavyotaka mwenyewe. ina support host TCP na UDP protocols. unaweza ku bypass firewall na restrictions.
wanatoa 15 days free trial. na kwa euro 19 wanakupa lifetime license kwa computer mbili.
inakubali kwa yale mambo yetu. (usiulize yapi wala usiombe settings, unatakiwa ufanye homework mwenyewe)

here is the tip....... jinsi ya kufanya http tunneling....... HTTP Tunnel: How to create | TunnelEx
 
Ngoja niingie msituni kuchimba hiyo dawa
 
Mimi ntaijaribu usiku, kama kawaida kwenye yale mambo yetu yalee
 
Parefu hapa tofauti na Cp/PD coz nimetoka kapa but naendelea kuchimba nipate hiyo Lulu
 
wadau kuna ka software kana uwezo wa kui tunnel internet connection yako unavyotaka mwenyewe. ina support host TCP na UDP protocols. unaweza ku bypass firewall na restrictions.
wanatoa 15 days free trial. na kwa euro 19 wanakupa lifetime license kwa computer mbili.
inakubali kwa yale mambo yetu. (usiulize yapi wala usiombe settings, unatakiwa ufanye homework mwenyewe)

here is the tip....... jinsi ya kufanya http tunneling....... HTTP Tunnel: How to create | TunnelEx

Ni PM hayo maujanja
 
Ni PM hayo maujanja

ABSOLUTELY DONT PM ME ABOUT THIS.....
sasa hamna tena spoon feeding. kwa mwenye uelewa tayari ameshajua ni basi gani hilo....hiii ni http tunneling.....yaani unaitoboa firewall, restrictions na vikwazo vyao kwa kutumia ile free page yao.
baada ya nusu saa nitawajuza ujanja mwengine wa basi la rangi ya kijani , lakini sio bure ni dola tatu kwa mwezi mzima. unapewa masaa mawili bure ya kujaribu kama utaweza kazi. hivyo basi ukiwa free ndio anza mtihani huu.
hiyooo
http://www.sandwichvpn.com/ (hili ni basi la part of etisalat)
 
JF jukwaa la technolojia bwana, ni kama uwanja wa vita, na kila member ni askari anayependa kuwaokoa wenzake, kwa kuwapatia maujanja ya IT. BIG UP!
 
mkuu ndvyo inavyotakiwa iwe no spoon feeding mana kitendo tu cha kuingia hi page ya tech inabidi ajue swala la kuumiya kichwa lipo big up ngoja ntest mwana na kama vp niangalie uwezekano wa kui jump trial ili iwe mwaka mzima
 
ABSOLUTELY DONT PM ME ABOUT THIS.....
sasa hamna tena spoon feeding. kwa mwenye uelewa tayari ameshajua ni basi gani hilo....hiii ni http tunneling.....yaani unaitoboa firewall, restrictions na vikwazo vyao kwa kutumia ile free page yao.
baada ya nusu saa nitawajuza ujanja mwengine wa basi la rangi ya kijani , lakini sio bure ni dola tatu kwa mwezi mzima. unapewa masaa mawili bure ya kujaribu kama utaweza kazi. hivyo basi ukiwa free ndio anza mtihani huu.
hiyooo
http://www.sandwichvpn.com/ (hili ni basi la part of etisalat)

Hapo utakesha maana zantel wameblock open vpn zote hamna vpn yenye configuration inayokubali zaidi ya zisizotumia open vpn zenye client software kama pd na cp
 
Nimijaribu kudrill but mizizi mipevu............anyway wacha tuendelee kumnufaisha jamaa buku 11 kwa PD coz paypal kwetu wengine mpaka uwe na moyo
 
Hii issue ya paypal mbona si ngumu kama wengi wanavyofikiri? Kama unauwezo wa kulipa elfu 11 for each month, basi sidhani kama unashindwa kuwa na akaunti ya Bank. Na kupitia akaunti hiyo utapata kadi(visa.master etc). Inshort ukiwa na uwezo wa kufanya purchases over the internet, pd-proxy for a month it is very affordable.(Not more than 6,000/= per month). Kwa mfano, CRDB Bank, kufungua normal saving account ni 20,000/= halafu unapewa kadi bila malipo mengine either visa au master na zote zina uwezo wa kufanya online purchases mara tu ukiiomba wai-activate iwe na hiyo facility.
 
Hapo utakesha maana zantel wameblock open vpn zote hamna vpn yenye configuration inayokubali zaidi ya zisizotumia open vpn zenye client software kama pd na cp

na hii nayo pia ina client software, na haitumii open vpn. ila program yao ipo very buggy.haijatulia saana.
bora kuachana nayo.
 
Hii issue ya paypal mbona si ngumu kama wengi wanavyofikiri? Kama unauwezo wa kulipa elfu 11 for each month, basi sidhani kama unashindwa kuwa na akaunti ya Bank. Na kupitia akaunti hiyo utapata kadi(visa.mater etc). Inshort ukiwa na uwezo wa kufanya purchases over the internet, pd-proxy for a month it very affordable.(Not more than 6,000/= per month). Kwa mfano, CRDB Bank, kufungua normal saving account ni 20,000/= halafu unapewa kadi bila malipo mengine either visa au master na zote zina uwezo wa kufanya online purshases mara tu ukiiomba wai-activate iwe na hiyo facility.

Mkuu Kuna Jamaa kanitell kuwa ili uwe na Credit card pale bank ya maendeleo Vijijini mpaka uwe na mtaji usiohamishika wa tumilioni tumoja.
sasa inakuwaje au ilikuwa ni janja yake ya kutukamua kiaina?

Vip hizi Debt card za Visa electron zinazotolewa kwa wateja wa KCB nazo zina join paypal?
 
Nime google nikaibukia kwenye forum f'lani kule Indonesia kiugumu ugumu nikanyaka AC ya PD-proxy pamoja na Pass ambayo jamaa kaiweka kiaina.
Nimejaribu kulogin imekataa but nilipopindua ile pasi kichwa chini miguu juu ikawa kanyaga twende.
sasa nipo kwenye lile basi letu nakamua kwa kushare naye so akibadili pass Kwishney!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom