Internazionale vs Chelsea (Stadium: Stadio Giuseppe Meazza, Milan (ITA)

_47368174_drogba_get.jpg
 
Tehetehe!, mimi sio ww banaaa, najua ww uko na Mourhno, mie hapa wote siwataki/nawataka. Mrhno alichonifanya akiwa na Porto :mad::mad::mad:siwezi msamehe hadi 2mr, inhal Bluz wache wawepo wawepo hadi last 8, ili EPL wasikomae kivle sanaaaaa.....

Ndio unavyodanganya toto, wacha visasi tazama ngoma naona kipindi cha pili speed imepooza.
 
Naona leo mambo yalikuwa mswano kwa Morinho asubiri darajani tu sasa.
 
It might have not so classic but it was interesting to watch it...still the battle is open to either of the team.
BTW; Am putting my coin on Chelsea
Am out.....!
 
_47368471_cambiasso_get.jpg


Huyu ndiye aliyewaua Chelsick the mafia team khe khe khe

Matanga yameanza leo rasmi.
 
Chelsea wameanza vizuri. Goli la Ugenini ni muhimu sana just in case of anything pindi watakaporudiana. Kwa mpira walio uonyesha wanaweza kushinda na kusonga mbele, ukizingatia kwamba second leg watakuwa uwanja wa nyumbani mjini Darajani..

Kwa mashabiki wa Manure, ni muhimu kuwaombea Chelsea wasonge mbele ili waendelee kuwa busy na CL huku wakiendelea kutaka kutwaa Ubingwa wa Ligi ya Uingereza. Wakitoka kwenye stage hii, basi nguvu zote zitaelekezwa kwenye Ligi Kuu na kila siku wanakuwa wako fresh na ndiyo watazidi kuchanja mbuga.

Ni kazi ngumu sana kufukuza title zaidi ya moja kwa wakati mmoja, wachezaji wanachoka sana kwa kuwa wanacheza mechi nyingi zaidi kuliko wapinzani wao. Mechi kama ya leo tumeona jinsi Chelsea walivyokuwa wakienda kwa speed kali, mpaka kufikia weekend baadhi ya wachezaji wa Chelsea wanaweza kuwa bado wamechoka ama wana injuries za hapa na pale.

All in all, hata kama Chelsea wameshindwa lakini wameonyesha kwamba wakicheza game ya pili nyumbani basi wanaweza kushinda, na tayari wana akiba ya kagoli kamoja ka ugenini. Kila la heri wana wa Darajani.
 
High quality game......! Pale Darajani wawaulize Arsenal drogba huwa ni nani !
 
Hayana lolote.
Kama kawaida magoli yao ni fuluku fuluku tu kisha bingwa wa mipasho ataanza kulopoka uharo wake kuwa hakuna kiungo Duniani kama Cambiaso...yakienda darajani yanakalia kifuu tu.
Hayana rekodi wala historia yoyote ktk mashindano haya.
Haya ni mashindano ya AC Milan.
 
Back
Top Bottom