Internazionale vs Chelsea (Stadium: Stadio Giuseppe Meazza, Milan (ITA)

Check kaumia haya tena na huyu refa mjinga sana tabu ya kuchukua fweza hiyo ...
 
_47368223_drogba_get2.jpg


Drog the Bar yupo ... ...
 
Game tamu sana hii kuicheki kama ukiwa hauna upande unaoshabikia kama mimi hapa, unless othawiz, preshaaaaa itapanda, presha itashukaaa, vichomiiii....
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 13 (8 members and 5 guests)
Kati ya hao watano, Ab-Tchaz na Masanilo hawakosi
 
Shhhhhhhhhh....muulize taaaaaraaaatibu, asije akatufungia.....

Afu anza na Mkuu Moderator Invinsible uko?

ha ha Manda,naona anaangalia tu posti zetu na midadi ya mechi)): Hebu washinde ili asitupe adhabu...
Ab-Tichaz nae wapi jamani mode mwingine?!...

mmh!tusifurahi sana mana na sie tuna kiporo chetu kwenye 2nd leg...
 
Wacha uongo we Manure.

Tehetehe!, mimi sio ww banaaa, najua ww uko na Mourhno, mie hapa wote siwataki/nawataka. Mrhno alichonifanya akiwa na Porto :mad::mad::mad:siwezi msamehe hadi 2mr, inhal Bluz wache wawepo wawepo hadi last 8, ili EPL wasikomae kivle sanaaaaa.....
 
Back
Top Bottom