international left handers day 13th Aug

Mimi changamoto ninayokutana nayo kuna mtu huwa akipita maeneo ilipo ofisi yangu lazima aje aniangalie tu ninavyoandika, hata kama sina cha kuandika mda huo ataniomba nishike pen niandike chochote
 
Left Handed ni Ulemavu kama ilivyo ulemavu mwingine tu, mf. mtu kuzaliwa na jinsia mbili, mikono mifupi nk maaana ukigoogle unaaambiwa hata ubongo wenu yaani CPU yenu kichwani haijakaa sehemu yake hivyo hayo ni mapungufu ya kimaumbile acheninkutulisha matango pori kwamba nyie ni bright au mmebarikiwa, NYINYI NI WALEMAVU.
Akili za google hizi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom